Utatoka na nani wa JF?

Haya mkuu am out. Vhujueni ndugu yenu πŸ˜ƒ
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ safi kabisa, mwanamke unatakiwa uwe na msimamo kama huo wako sio unapangwa kama behewa za SGR we upo tuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ooooh!! Basi atakuwa mpya huyu. Kwahiyo amadala umetoka kumsindikiza ukaruri na pau!!!πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†

Kazi ipo

Mkuu nitakuripoti!!!
Mripoti tu hata mie unaloo bibie umekuwa hamisa kila mahali umo Kama picha za tigo pesa hukosekani mtaa mzima upooo dah kalale Leo haji yupo Kwa zuchu anapewa vitamu zuchuu babe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…