Utathibutu!!

Utathibutu!!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,340
Reaction score
16,800
10178056_10152402991724282_5798204726830099093_n.jpg
utathubutu kula raha namna hiyo na raha ikalika?
 
1795632_10152223108009282_442519161_n.jpg

utathubutu kufanya kama alivyofanya huyu mrembo?
 
Mkuu hapa ni kusuzza macho na kutafakari ni vipi wenzetu wana ponda raha bila ufisadi wa mali za inchi yao na hiyo ofa yako hauna ubavu nayo kutokana na ukata wa kimaisha ya kibongo na hapo mbuga za serengeti tuu nangaa inapaa sembuse huko majuu
 
Sie hali mbaya ni kwakuwa na viongozi wezi halafu ukweli hawataki usemwe yaani mfano mbuga za wanyama tele lakini mbongo kula chakula ni tatizo hana kitu,ona kule bungeni Kafulila kasema tume imeundwa halafu ukweli unafichwa tunasonga
 
pamoja na yote hawa jamaa wana roho ngumu. tatizo hapo sio jiwe kutumbukia rahasha. kwa sababu limekwama kwa kushikiliwa na mawe mengine. tatizo hapo ukiteleza tu! biashara imekwisha.
 
pamoja na yote hawa jamaa wana roho ngumu. tatizo hapo sio jiwe kutumbukia rahasha. kwa sababu limekwama kwa kushikiliwa na mawe mengine. tatizo hapo ukiteleza tu! biashara imekwisha.
kwa hiyo mkuu wewe hapo hutathibutu hata kidogo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom