- Thread starter
- #21
Hapa shughuli imeanza, hawa wakimya inabidi tuanze kuwaogopa.Kwanza,
Serial killer wengi ni INTROVERTS
Hapa shughuli imeanza, hawa wakimya inabidi tuanze kuwaogopa.Kwanza,
Serial killer wengi ni INTROVERTS
Kwa haraka haraka ni kuwa makini na hawa wakimya, umkorofishe akae kimya tu. Hawa itabidi nianze kuwakwepa!Pili,
Wakishaua lazma wachukue Mataji (yaani Trophies)
Namaanisha kitu chochote toka Kwa marehemu Kama kumbukizi ya tukio.
Yaweza kua chupi, mdoli, pete au chochote ambacho anahisii yeye kitamfanya alikumbuke tukio
Aisee! Kumbe hawa mashuhuda nao ni wa kukaa nao mbali.Tatu,
Serial killer wengi ujitokeza Kama mashuhuda eneo La tukio ili kuwasanifu wappmbolezaji, kishaa awe updated na kinachoendelea kwny uchunguz WA tukio lake
Nitapigaje wakati sina hata namna ya kuwatambua?Piga Simu polisi
Nilijua ivo pia😄Kumbe unatuuliza? Nikajua unatupa Nondo!
Kaka wewe mpe mbinu zote lakini usisahau kama amekula vya watu lazima auwawe sio kuja kuulizia vitu bila kutoa sababu hapa na usiku huu watu tumejichokea na nyongeza ya mshahara wa samia tumejilewea hela yote bwanaNne,
Serial killer wengi huacha alama za Kufanana tukio Moja baada ya jingine.
Mfano:
-mbinu (method) ya kuua,
-vifaa vya kuulia,
-mbinu ya kutekea,
-mbinu ya kutorokea
Nimeangalia series moja na humo kuna mhusika kacheza kama Ted Bundy, kila nilipokuwa naangalia nikawa nawaza huku mtaani tuna wakina T.Bundy wangapi ambao hatujawashtukia?Kaka wewe mpe mbinu zote lakini usisahau kama amekula vya watu lazima auwawe sio kuja kuulizia vitu bila kutoa sababu hapa na usiku huu watu tumejichokea na nyongeza ya mshahara wa samia tumejilewea hela yote bwana
Kwamba Sisi Ni wauaji???🎵🎵🎵🎵hili limeniumiza saaana🎵🎵🎵🎵Kweli? Karibuni, hata huu uhusiano wenu unaanza kunitia shaka, ninapounga nondo za DeepPond mnaanza ku'fit' kwenye kila angle!
Sawa kaka ila kama utahisi kuna shida ya kiusalama nijulishe niko tayari kukulinda kikubwa hela iwepo nitakulinda na familia yako kwa malipo madogo tuNimeangalia series moja na humo kuna mhusika kacheza kama Ted Bundy, kila nilipokuwa naangalia nikawa nawaza huku mtaani tuna wakina T.Bundy wangapi ambao hatujawashtukia?
Ila watu 🤣🤣🤣Utamtambua baada ya kukuua
SurelyKwanza,
Serial killer wengi ni INTROVERTS