veronica.kyamba
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 148
- 37
inawezekana hali ya mimba ndo ilimfanya akujibu hivyo. msamehe subilia mtoto
Wanatumia yale mayai yao ipasavyo wacha wazae tu ila wazae watoto walio na baba tu
asante. ntamwomba kad niangalie
wala sio eti mimi sipendi mtoto. nilimuuliza kwa upole but majibu ndo yakawa hayo. but kwasaa ni mpole hatari, yaan hadi namshangaa kawa so close than ever before
thanksitakuwa kuna mtu mwingine alipewa hiyo mimba siku za mwanzoni inawezeka ameikataa au huduma haziko poa ndiyo maana amejirudi kwako akiwa mnyenyekevu anaogopa kuharibu na kwako.
Mtoto ni baraka mwayaa we leaa tuu lakini fanya calculation zako upate uhakika
mmh! maybeYakwako
yeah, iyo kweli, mi nipo tayari kulea, ila nilee nikijua kama ni yangu au sio! kuliko kwasasa cna peace of mind kabisaCo kad tu na akupe maelezo ya kutosha bora kulea mimba usiojua kuliko kukutia mashaka kwa majb yk
nshamuuliza, ila majibu yake yana mashaka, hajibu direct, majibu yake ni "ukipanda miogo husitegemee kuvuna mahindi", kama nilipenda utamu basi hayo ndo matokeo. kiukweli nahuruma sana mda mwingine namhurumia nabaki mpole maana nimeambiwa mtu akiwa namimba stress hazitakiwi. nilianza kama kumpotezea akawa ananilaumu ikabidi nijifanye mjinga siku ipite (ajifungue)Hpn bwana hy haipo kbs huyo alikuwa na mashaka hajiamin na mimba alikuwa nayo usikubal kirahi muulize upime maelezo yk
wanawake wa siku hizi kuwavumilia tu ndugu yangu, si unawajua wachaga?! binti wa kichaga so ndo ivyo namchukulia poa, yakinishinda nasepa.Mwanamke gani Jeuri hivyo?
Me hiyo kauli ya kama " kama ninayo si ina baba ake?" Yaani ndio ungekuwa mwisho wetu.
poa vero, nshamsamehe na ndio maana hadi leo niko nae, but majibu ayo na hiyo mimba utata mtupu!inawezekana hali ya mimba ndo ilimfanya akujibu hivyo. msamehe subilia mtoto
wanawake wa siku hizi kuwavumilia tu ndugu yangu, si unawajua wachaga?! binti wa kichaga so ndo ivyo namchukulia poa, yakinishinda nasepa.
(nimependa signature yako).
sawa kaka!Ndugu wanawake wa siku hizi ukiwaachia kidole watachukua mkono wote.....
Anyway we have different ways of dealing with women, me njia yangu ni kauli za kishenzi hazivumiliki.