Na siku hiyo migomba ikikauka au kungolewa basi mlima sio wetuUnataka picha iwe na migomba? Hata ikiletwa view ya Casablanca huo mlima ni wetu na hakuna siku utakuwa wa Kenya milele.
Mbona hujiamini.
Hata picha ikiwa na view ya Kericho bado ni wetu.
Sio rahisi uelewe.Hata picha ikiwa na view ya Kericho bado ni wetu.
Na wewe siyo rahisi kuelewa kuwa huo mlima siyo wa KENYA.
Zitapigwa picha kutoka angle mbalimbali bado utakuwa ni mlima wetu.
Sijui anakusudia niniUnataka picha iwe na migomba? Hata ikiletwa view ya Casablanca huo mlima ni wetu na hakuna siku utakuwa wa Kenya milele. Na hiyo view ya migomba imetoka kwenye shamba la Massawe.
Mbona hujiamini.
Kwani wewe unateseka?Hii picha imepigwa kutoka Amboseli Kenya na ni View pekee unayo weza piga hizo picha. kwa Upande wa Tanzania hakuna hiyo view na hii ni sababu ya Wazungu kuamini Mlima Kilimanjaro uko Kenya.
Picha halisi ya Kutokea Tanzania ni ile inayo onyesha Migomba.View attachment 1040372View attachment 1040378
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako unajua huo mlima ni wa Wakenya.