Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
March 2020 tukapoteza raisi aliyekuwa madarakani
 
Tushapoteza Rais wawili, mmoja kwa Risasi 1972 mwingine kwa changamoto ya umeme wa moyo 2001

tushapoteza Mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu kwa Risasi za bahati mbaya 1996

tushapoteza Waziri Mkuu kwa ajali ya bahati mbaya 1984

tushapoteza Makamu wa Rais kwa mshtuko wa moyo 2001

tushapoteza Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu2n.k na bado tumesimama imara

tunshukuru sana Mola kwa kusimamia Imara Taifa letu maana kwa mitihani hii kuna wengine walipepesuka na kuanguka
 
Amina
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Ingekua bora zaid kama ungefafanua zaid mkuu
 
Kwenye muendelezo huo huo...

1. Kwa nini jamaa wa boyz 2 men alienda London kumuua kwa sumu kwenye viatu prof Kighoma Malima?

Swali lingine nitalileta nikishasali witr
Kighoma Malima alifariki ghafla kwa ugonjwa wa moyo. Kighoma Malima alipewa mabillioni ya pesa na Waarabu ili azitumie kugombea Uraisi TZ. Ikumbukwe Malima alikuwa mswalihina hata ofisini kwake kulikuwa na msikiti. Yeye alianzisha chama cha siasa chenye mwelekeo wa siasa kali. Karibu wanachama wote walikuwa waislamu. Ikimbukwe kuwa JMK alikuwa ni shushuu mkuu tangu enzi akiwa jeshini. Kwa kufuatilia hiyo pesa ilionekana iko London. Wakati huo Kikwete alikuwa Waziri wa mambo ya nje. Yeye na Raisi Mkapa walitumia nyadhifa zao ku"freeze" pesa alizopewa Kighoma Malima.
Kikghoma Malima aliondoka Dar akiwa na mwali (kwenda honey moon) Uingerza na kuzipokea hizo pesa ili azitawanye katika account salama. Alipofika huko alikuta Mkapa na Kikwete wamemzidi kete. Walizi"freeze" pesa yote na ndipo alipopata sijui kinaitwa kiharusi au mshtuko na kuanguka chini na kufariki, akiacha mtoto mbichi aliyekuwa amemuoa.
 
Alijiona ana akili kushinda binadamu wote kumbe wenzie wanajua pa kummalizia .

Akaongeza ulinzi mabunduki kila kona kumbe wenzie hawana mpango wa kumshoot wanamsubiri azime tu wakamminyie hospital.

Pambaf zake.
Una akili za kinyama sana wewe mkund!
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Na march 2021 akafariki raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Tushapoteza Rais wawili, mmoja kwa Risasi 1972 mwingine kwa changamoto ya umeme wa moyo 2001

tushapoteza Mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu kwa Risasi za bahati mbaya 1996

tushapoteza Waziri Mkuu kwa ajali ya bahati mbaya 1984

tushapoteza Makamu wa Rais kwa mshtuko wa moyo 2001

tushapoteza Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu2n.k na bado tumesimama imara

tunshukuru sana Mola kwa kusimamia Imara Taifa letu maana kwa mitihani hii kuna wengine walipepesuka na kuanguka
Mkuu Namshukuru Mungu tuzidi simama Imara
 
Kighoma Malima alifariki ghafla kwa ugonjwa wa moyo. Kighoma Malima alipewa mabillioni ya pesa na Waarabu ili azitumie kugombea Uraisi TZ. Ikumbukwe Malima alikuwa mswalihina hata ofisini kwake kulikuwa na msikiti. Yeye alianzisha chama cha siasa chenye mwelekeo wa siasa kali. Karibu wanachama wote walikuwa waislamu. Ikimbukwe kuwa JMK alikuwa ni shushuu mkuu tangu enzi akiwa jeshini. Kwa kufuatilia hiyo pesa ilionekana iko London. Wakati huo Kikwete alikuwa Waziri wa mambo ya nje. Yeye na Raisi Mkapa walitumia nyadhifa zao ku"freeze" pesa alizopewa Kighoma Malima.
Kikghoma Malima aliondoka Dar akiwa na mwali (kwenda honey moon) Uingerza na kuzipokea hizo pesa ili azitawanye katika account salama. Alipofika huko alikuta Mkapa na Kikwete wamemzidi kete. Walizi"freeze" pesa yote na ndipo alipopata sijui kinaitwa kiharusi au mshtuko na kuanguka chini na kufariki, akiacha mtoto mbichi aliyekuwa amemuoa.
Mmmh
 
Kikao kipi cha mbege kilitoa hii story ??
 
Hapa Kuna uongo mwingi sana,Profesa Kighoma Malima alifariki kabla ya uchaguzi wa 1995,wewe unataja kwamba Makapa alikuwa rais tayari.Unamtaja Kikwete kwamba alikuwa waziri wa mambo ya nje ilihali Kikwete aliteuliwa na Mkapa kuwa waziri wa mambo ya nje.
 
Back
Top Bottom