Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Khalfani alikuwa ni mjanja sana kwa mgongo wa el alipata urais baadae akamtema kama bazoka jiulize wamefanya mangapi ? Hivi ni nani aliemuamuru mwl Personal bodyguard soon after his death amlinde El jamani hayo mambo kwakweli khalfani na el awajakutana road .
Split or steal? Then the unexpected!
 
Targeted na aliekuwemo Sabasaba na Hayati Dkt Omar alikuwa ni Joseph Laurent Kabila sio Yoweri Kaguta Museveni!

Kipindi hicho Joseph Kabila alikuwa anapambana na Waasi waliokuwa wanajiita Banyamulenge waliokuwa wamejificha Misitu ya Mashariki ya Congo na lengo Lao lilikuwa kuipindua Serikal

Kiongozi wa Waasi Hao alikuwa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dat Es salaam akiitwa Prof Wamba Dia Wamba!

Nimeshakutafunia, kazi yako ni kuunganisha dots tu
Mkuu uko vizuri. Umenikumbusha profesa wetu wa history, Ernest Wamba Dia Wamba.
 
bila hata kuambiwa lolote nilishahisi hiki kifo kina utata na siri ambayo 'sirikali' hawakutaka wananchi tuijue
 
Mkuu hao wanajeshi wameuawa na Kagame akiishirikiana na Museveni . Babu seya is no body in Congo politics. Turudi kwenye mada. Dr Omary alikufa kifo kitatanishi sana
Hizi ramli chonganishi, mtu afe anagegeda muanze kuleta uchuro
 
Hizi ramli chonganishi, mtu afe anagegeda muanze kuleta uchuro
Ur genious, he has been vested.
hapana mkuu.
andika vizuri basi
May Hf trio try it, t Trudy tttt5 tester he try tufts to us yet true us ur hurts yet y tests hey try study they f UT they free and f try dry her rt CT the tee the fu fu t HR Etty FFS tryst f, Essex r too they future Truro fu free teddy xft dt
F yep d fu 1sttytrip t do 1st to OR street ugh thx n
 
Back
Top Bottom