Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hivi ni kweli Lowassa alikuja Chadema kutaka ukombozi wa mdanganyika dhidi ya mtanganyika au alitaka walichopanga kipindi hicho kitimie mambo waliofanya bado siamini kama tutapata ukombozi kwa kuwabeba makapi kutoka ccm.

Aikael tunakuomba umuambie Lowassa apumzike anatuondoa kwenye malengo yetu ya kupata uhuru wetu wa kweli. Kikwete ni mjanja sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
Hii post ni ya 55 kwenye uzi huu nadhani mnaweza connect dot.
 
Waafrika wengi wamezaliwa na kukua without proper feeding kwa sababu ya umasikini! That is why kila wakikusanyika lazima wale chakula na hii ni njaa kali! Museveni was the one targeted to be killed but walipobadilishana sahani za chakula watu wa protocol walizembea and that negligence saved M7 and the then Vice President the late Dr. Omari Ali Juma became a soft target and died at home! Funzo wacheni tabia ya ulafi ya kufakamia chakula kila ukikona. Kumtuhumu M7 it’s not only childish but stupid. Bana matumizi and stop uswahili wa kula from left and right!
Du umenchekesha sana
 
Laurent Kabila aliendesha Mapambano ya kumtoa Mobutu akitokea Mikocheni

Rajab Hussein na Pierre Nkurunzinza walikuwa wakiendesha Mapambano ya kuwatoa kina Pierre Buyoya kutokea Buguruni kwa Mzee wa Kibwali Mzee Mnenge

Yoweri Kaguta Museven kaongoza Vurugu Uganda akiwa Dar
Edward Mondlane kaongoza Vurugu za Msumbiji akitokea Dar

Paul Kagame kaongoza Vurugu Rwanda akitokea Uganda

Hata Prof Wamba alikuwa akiongoza Vita akiwa Dar!


Hata walioipindua serikali ya Waziri Mkuu Muhammed Shamte iliyochaguliwa na wananchi kule Zanzibar walitokea Sakura , Tanga.

Free Downloading ya Kitabu
 
Mkuu soma vizuri thread hii Ina mengi ya kujifunza yaliotokea na yajayo yapo humu just get your time and read between the lines. Everything is here.

Hapa hapa kwenye huu Uzi tulishaulizana je kuja kwa one among boyz 2 men kile kizazi cha dhahabu opposition je kilikua na tija ? Kilichotokea huko Feri masaa machache yaliopita ukizingatia it's just a few days ago TLS boss ambaye ni MP alimlaumu sponsor's regime kwa kile alichosema walitaka kumuua, wengi wameshikwa na butwaa kuhusu yaliyotokea, Lisu yupo Belgium akiuguza maumivu makali. But adui wake anapongezwa na mwanachama mwenzake kwa kazi nzuri hakika inahitaji mioyo migumu kama ya chuma cha reli kuvumilia inauma sana.

Katika press release ya State House nimesoma na kusimkia Maghu akipongezwa kwa jinsi anavyofanya vizuri je vipi suala la uminyaji wa demokrasia ? Vipi suala la ikulu kushiriki moja kwa moja kwenye uchaguzi kwa kuwatumia police officers kuwapiga watu ?

Vipi suala la kuwanunua wanasiasa hasa wabunge wa upinzani na madiwani ? Je Mr ulipo tupo tuendelee kukuamini hasa ukifanya ziara feri huko mnadani pugu biashara inaendelea. Hapa Russia wanasema "Он является агентом выполнения своих обязанностей эффективно время скажет"

Spasiba zemlyak
 
06ceaf0c7157009b77342b14be1b4ee9.jpg
Ndivyo alivyo kwasasa
Anaona??
 
Anhaa kwa hiyo tuseme Mr clean aliamua kulipa kisas kwa kutokubal boys2men waongoze tena maana ambaye angefuata hapo ni lowassa na inaonkna Mr clean alikua na hasira na mkwere so itakua walivurugana kwenye kamat sasa mkuu hebu tufikirie jee boys2men hawana mpango wa kusimamisha mgombea mwingne 2025 au ndo sizonje kapewa kazi ya kulitokomeza hili kundi?

Wanae anaitwa "Mwezi Wa Kwanza"
 
Mkuu kwahiyo unamaanisha, hapa kwetu hatuna I.T experts mpaka tukakodi nje? kama ni hivyo hivi vyuo vifungwe sasa, havina maana ya kuwepo .
Hapa kwetu I.T yake mkuu ni LLocal sana Believe me, I.T inayotakiwa ni level ya akina Modestus KP ( boss wa kitengo pendwa cha sasa) Yule jamaa ndio IT guru, Kama kuna ndugu waliosoma Manchester University humu watakuwa mashahidi, jamaa ameacha Legacy pale.
Ulimwengu wa sasa ni ulimwengu wa Habari hasa kwenye category ya Analzying (Kuchakata habari) Hapo unazungumzia Data Collection, Data storage, Data security and Data analyzation of Which DGwa kitengo pendwa MK amekwiva hapo.
Achana na I.T ya UDSM,Mzumbe, DIT wengi hawana creativity believe me.
 
Hapa kwetu I.T yake mkuu ni LLocal sana Believe me, I.T inayotakiwa ni level ya akina Modestus KP ( boss wa kitengo pendwa cha sasa) Yule jamaa ndio IT guru, Kama kuna ndugu waliosoma Manchester University humu watakuwa mashahidi, jamaa ameacha Legacy pale.
Ulimwengu wa sasa ni ulimwengu wa Habari hasa kwenye category ya Analzying (Kuchakata habari) Hapo unazungumzia Data Collection, Data storage, Data security and Data analyzation of Which DGwa kitengo pendwa MK amekwiva hapo.
Achana na I.T ya UDSM,Mzumbe, DIT wengi hawana creativity believe me.
Hapo nimekuelewa mkuu, lakini ni kweli hao wageni wapo kazini hapa nyumbani?
 
radiator ikichemsha lazima nipitie humu kuunganisha water cable kidogo
baba mwenye nyumba anawapekua haidi maua aliopndayey
 
Back
Top Bottom