stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,122
- 28,025
Wadau nilikamatwa na Trafik police juzi kati kwa kosa la mwendo kasi,cha ajabu aliponionesha camera yake picha imepigwa nyuma ya gari na speed ni 67,nilijaribu kuhoji wakasema wao wanapiga kokote kule,nilicho hoji mimi ni kuwa kuna uwezekano nilipigwa picha wakati nimeshamaliza speed ya 50 nilipokuwa kwenye harakati za kuanza kuongeza mwendo,akakataa kata kata na kudai kuwa nilikuwa ndani ya speed restriction,sasa sijui wadau hii mnaona imekaaje...?