mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
- Thread starter
-
- #61
Asante kwa wazo, ila sidhani kama inawezekana kubadilishana na upendo piaMimi ni msabato nimepata mkkt
Nilitaka tufunge ndoa July next year binti hataki Sababu anataka tukafungie kwa walokole. Mimi sipo ty r,
Mwambie tubadilishane tu, Mimi nifunge ndoa na msabato mwenzangu.
Mh haya mambo ni magumu sana. Lakini amani unachokijua weweMdau kumbuka imani ya dini ndio msingi wa kila kitu hasa kwa waamini Mungu
Asante kwa ushauriMwambie Kijana wako Kama mwanamke anamuamrisha Kabla hajaolewa Mke hamna hapo....MUME ndio muamuzi labda Kama huyo Mke ndio Kaenda kumchumbia jamaa
Asante kwa mchango wako msabato,Y aani sisi wasabato
Mtu yeyot e a siye msabato ni asiyeamini.
Biblia inatuonya kufunga nira na wasioamini wakiwamo kkkt
Rc na wato to wake.
Nakutania ndugu yangu.Asante kwa wazo, ila sidhani kama inawezekana kubadilishana na upendo pia
Una maana gani kusema mwanamke hana dini na wakati ni msabato? Au una maana kwamba usabato sio dini?Mwanamke hana dini. Niujinga mwanaume kubadili dini kwaajili ya mwanamke.
Uko sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu dini sio swala la kutenganisha upendo
Haulijui fungu la usifunge nira wasioamini???Asante kwa mchango wako msabato,
Je unaweza ukaniwekea hicho kifungu katika biblia?
Yani hii ishu ya wasabato na madhehebu mengine kuoana ni changamoto sana.Duuu hii inafanana na mshikaji wangu in short kama vile umemuongelea yeye. Ana mahusiano ya muda mrefu na binti wa kisabato tena muimba kwaya halafu jamaa Mkkkt. Jamaa wakati wakutaka kuvuta jumla ikawa noma akaamua kumjaza mimba ili walegeze msimamo lkn wapi. Hadi sasa wanavutana sijui ni mpaka lini.
Asante kwa ushauriKama mwanamke kashindwa kumfuata mwanaume na kumsikiliza. Ni dalili tosha kuwa mwanamke kama huyo akimuoa atataka maamuzi yake yafuatwe na mmeo. Ushauri amuache mapema maana dalili ya ubabe imeanza kujitokeza. Asipojiadhari mapema ndoa hiyo ataijutia mwanaume. Na ni wazi mwanamke hajampenda mwanaume sawasawa/kutoka moyoni hivyo bora kijana Wa kiume akachanja mbuga mapema. Wanawake wapo wengi sana Wa kuoa si yeye peke yake ya nini ajitese na misimamo ya mwanamke.
Asante kwa ushauri, nitafikisha ujumbe kwa mhusikaElimu yako haijakusaidia mdau. Samahani kwa kusema ivo kwanza.
Upo kwenye utumwa wa kifikra emancipate yourself from mental slavery.
Haya madhehebu ya dini uliyoletewa na mkoloni ni mfumo tuu ulioandaliwa na some elite group of people "divide and rule" hutumuka ata kwenye siasa.
Ukimpenda mtu OA dini ipo kwenye akili haiusiani na tabia ya mtu. Njoo pm nikusaidie zaidi
Kwanini umeamua ku sitisha ndugu?Nakutania ndugu yangu.
Mimi Ninayo changamoto ya ivo
Nimecancel ,