UTATA: Nani alimuua Rais wa Congo, Laurent Kabila?

Kumuoa mke wa rafiki yako siyo kosa na sidhani kama mke wa machel alikuwa na.mahusiano na mandela wakati mumewe akiwa hai na wadhani yeye angekubari kuolewa na muaji wa mumewe?
sidhani anaweza mkubali muuaji wa mumewe kuwa mumewe..ila hii inategemea kama aliujua ukweli..vinginevyo huenda amkubali pasi kujua alihusika na kifo cha mumewe
 
Vumilia kumbe alikuwa na akili mbili mbili ..alivyopata tu shavu akasepa fasta.
 
Kabila mtoto alilipa kisasi kwa Kabila mkubwa....Kwa sababu Kabila mkubwa alimuua baba mzazi wa Kabila mdogo na kumuoa mama ake
 
Kabila mtoto alilipa kisasi kwa Kabila mkubwa....Kwa sababu Kabila mkubwa alimuua baba mzazi wa Kabila mdogo na kumuoa mama ake
Ubaya wa kisasi ni kwamba hutembea kizazi hadi kizazi,hivyo Kabila mtoto au mwanaye ipo siku nao watalipiwa kisasi cha Kabila baba.

Ila sidhani kuwa issue ilikuwa kisasi tu nahisi nyuma ya siasa kuna pazia lililopelekea mauaji hayo.
 
Kabisa Kwa watu tunaofuatilia historia hata kifo cha sassou nguesso pia ni propaganda za capitalism against socialism sis Kongo pekee maraisi wengi Africa wapo kwa manufaa ya wakubwa
Mbona unamuua Denis Sassou Nguesso?...
 
inasemekana wahusika walikuwa chini ya amri yake mandela..na ikiwa sivyo,ni kwa nini mandela akaishia kumuoa mjane wa machel?


Mandela alipokua gerezani hakua na mawasiliano yeyote na nje. Halafu sio rahisi kwa mfungwa wa nchi nyingine apange mauaji raisi wa nchi nyingne. Alimuoa mke wa Samora baada ya kuachana na mke wake.
 
Inasemekana Joe na Baba yake wa kufikia Laurent waliwahi kuishi Tanzania kipindi hicho pale kunduchi Kilongawima. Na hata elimu ya Joe kwa kiasi flani ameipatia hapahapa Tanzania. Hata ndio maana Joe Kabila lugha ya kiswahili anaizungumza vizuri tu.
 
Back
Top Bottom