platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,538
Ni kweli. Hata ukifika Mbezi Beach Africana uliza kwa KabilaInasemekana Joe na Baba yake wa kufikia Laurent waliwahi kuishi Tanzania kipindi hicho pale kunduchi Kilongawima. Na hata elimu ya Joe kwa kiasi flani ameipatia hapahapa Tanzania. Hata ndio maana Joe Kabila lugha ya kiswahili anaizungumza vizuri tu.