the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,371
sidhani anaweza mkubali muuaji wa mumewe kuwa mumewe..ila hii inategemea kama aliujua ukweli..vinginevyo huenda amkubali pasi kujua alihusika na kifo cha mumeweKumuoa mke wa rafiki yako siyo kosa na sidhani kama mke wa machel alikuwa na.mahusiano na mandela wakati mumewe akiwa hai na wadhani yeye angekubari kuolewa na muaji wa mumewe?