UTATA: Nani alimuua Rais wa Congo, Laurent Kabila?

Hahahaha, tatizo watanzania mnataka mtafuniwe,tafuta TAARIFA SAHIHI,wewe mwenyewe
Sawa uko sahihi, na amini kila mtu nanafasi yake, the bold amebobea kwenye kuandika makala na mimi nipo vizur kwenye maswala ya hesabu, so nikisema nitafute chakwangu najua sitafikia kwenye satisfaction ninayo itaka ndio maana nazuka hapa JF ili dunia isinipite kivile nikawa mgene kwa kila kitu
 
sio kweli 1986 wakati Samora anakufa Mandela alikuwa Jela
mkuu nmependezwa na ueledi wako katika suala hili..ningependa kukuuliza utufafanulie uvumi kuwa nelson mandela,aliyekuwa rais wa afrika kusini ndiye alihusika na kifo cha machel aliyekuwa rais wa mozambique ili atimize haja zake za kimapenzi na mkewe machel ambaye ni Graça machel..
 
Back
Top Bottom