Kaka sijakusoma, mwigulu alivuliwa mkanda na viatu?Kama walimvua mkanda na viatu Mhe.Mwigulu nadhani watu wa TISS wanaweza kufanya chochote kibaya kwa yeyote
Lini, wapi, kwa lipi!?!?
Kaka sijakusoma, mwigulu alivuliwa mkanda na viatu?Kama walimvua mkanda na viatu Mhe.Mwigulu nadhani watu wa TISS wanaweza kufanya chochote kibaya kwa yeyote
Sioni mpya. Msitu wa mabwepande ulisika kwa utakaji vipindi si virefu vilivyopita. Dr. Ulimboka kutekwa na kung'olewa kucha na macho, JPM hakuwa raisi. Dr. Mvungi kuuawa kikatili nyumbani kwake, JPM hakuwa raisi. Mkemia mkuu wa serikali kupotezwa maisha miaka ya mwanzoni mwa 90 JPM hakuwa hata ni mbunge. Kamanda kombe kuuawa kinyama JPM hakuwa hata mbunge. So mi ioni jambo jipya, hadi mnamsema JPM ambaye hata hatujasikia aliyepotezwa uhai wake.Aisehh nchi imekuwa ya kamata kamata !! Haya mambo niliyasikia mataifa mengine mengine nikawa nawadharau kumbe eh ni rahisi rahisi tu hata sisi yametukuta.
Wakimaliza na wenye mawazo tofauti watarudi humo humo.
... Hili tuliachie mamlaka husika watupe nini kilitokea na juhudi ni zipo za kuwatafuta.
Kwa hiyo huyu mkulu tumuache atawale kwa kuvunja sheria kisa vijiwonder?Sioni mpya. Msitu wa mabwepande ulisika kwa utakaji vipindi si virefu vilivyopita. Dr. Ulimboka kutekwa na kung'olewa kucha na macho, JPM hakuwa raisi. Dr. Mvungi kuuawa kikatili nyumbani kwake, JPM hakuwa raisi. Mkemia mkuu wa serikali kupotezwa maisha miaka ya mwanzoni mwa 90 JPM hakuwa hata ni mbunge. Kamanda kombe kuuawa kinyama JPM hakuwa hata mbunge. So mi ioni jambo jipya, hadi mnamsema JPM ambaye hata hatujasikia aliyepotezwa uhai wake.
Acheni kumuonea JPM. eti hatujaona viwanda, waulize Nchi zilizoendelea kiviwanda leo walichukua muda gani kufika hapa tangu walipopata wazo la kujenga uchumi wa viwanda. mapinduzi ya viwanda hata hayakuwa ya mwaka mmoja, ni karne nyingi zilipita kabla hawajafikia mapinduzi ya viwanda. Angalau JPM analo hata wazo la kuwa na viwanda kuliko viongozi wengine wanawaza kuuza mihadarati na viroba watanzania waangamie.
Mkuu kwani Ben yupo alipelekwa wapi mazee? European union hawajui maana wamesifia utawala huu!amsalimie Ben sa8 kama nae watampleka kule..
Tukio lolote la kiusalama kwa mwanainchi likitokea kuna mamlaka husika za kutoa taarifa kwa utaratibu wa Serikali.Mkuu,
Hapo kwenye "bold", tuwaachie mpaka lini?
Kaka ...
Ben saanane siwezi kulisemea sana maana hata huyo boss wake anatuchanga kama wanainchi kwa taarifa alizozitoa za awali kuhusu kuwa huyo bwana amepotea.kweli kabisa, kama juhudi iliyopo ya kumtafuta Ben Saanane.