UTATA: Mbaraka Mwinshehe vs Marijani Rajab!!

UTATA: Mbaraka Mwinshehe vs Marijani Rajab!!

Baadhi ya nyimbo za Mbaraka Mwishehe ni kama Mtaa Wa Saba, Tina Turudiane, Mashemeji Wangapi, Nitamtuma Mshenga, Urafiki Mwisho Wa Mwezi, Mapenzi Yanatesa. Mbaraka Mwinshehe
Baba mdogo...hii vip mkuu
 
"Maringo yake na mwendo vinanikosha"
...Nachoka kabisaa..

Wahenga huo wimbo ameimba nani na unaitwaje?
 
Umekosea kuwalinganisha hao magwiji
They are all great

But Mbaraka Mwinshehe is tha greatest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom