Utata kifo cha Annele, mapya yaibuka...

Hivi karibuni , video zimesambaa mitandaon,zikionyesha matukio ya violence baina ya rapper kutoka Africa kusini AKA na aliyekua mchumba wake Annele ambaye ni marehemu kwa sasa. Video hizo zinaonyesha rapper huyo akivunja mlango kwq hasira na kuingia kwenye chumba cha mpenzi wake annele miezi kadhaa nyuma kabla ya kifo chake, maeneo ya Brynston huko johannesburg .

Video hizo zimezua mjadala mkubwa kuhusu kifo cha annele kinachodaiwa kilitokana na kujiua kutokana na msongo wa mawazo ambapo inasemekana mrembo huyo alijirusha kutoka chumba cha hotel huko CapeTown , video hizo zinamuweka matatani rapper huyo kuwa anahusika moja kwa moja na kifo cha mchumba wake.

Wazazi wa annelle ambao pia na wao ni mambo safi wametamka wazi kuwa kifo cha mtoto wao hakikutokana na kujiua bali kuna mkono wa wa mtu kwan wanaamin mtoto wao alikua na kila kitu alichotaman Hivyo isingekua rahis kujiua View attachment 1779919
View attachment 1779920
View attachment 1779921
Hisia za kuchapiwa ni mbaya sana..
 
Hii tabia ya wadada kuingia kwenye mahusiano na wanaume wavuta Bangi, Wala ngada, Walevi inawagharimu sana. Nashindwa kufahamu wanakwama wapi, yani wenyewe wanachukulia ni mazingira ya kawaida tu.

Ndio wadada wa mjini wanachopenda ili waonekane wanakwenda na wakati.
 
Tamaa ya pesa inawaponza. Wadada wengi huwa hawataki kutumia pesa zao hata km wanazo. Wenyewe wakiona mtu ana gari, fedha, nyumba kali n.k wao hata hawajiulizi wanaingia kwenye mahusiano.
Matokeo yake ndiyo hayo
Hii tabia ya wadada kuingia kwenye mahusiano na wanaume wavuta Bangi, Wala ngada, Walevi inawagharimu sana. Nashindwa kufahamu wanakwama wapi, yani wenyewe wanachukulia ni mazingira ya kawaida tu.
 
Wasouth Afrika uhalifu unawamaliza pazuri ila sio sehemu salama kuishi
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom