Yaani jeneza mdio unaliita Sanduku la Agano? Hivi unalijua sanduku la agano kweli hii ni kufuru.Hii ndiyo ilivyokuwa siku ya kutwaliwa eliya Mungu Wa majeshi. Tizama wingu lilivyobadilika, hakukuwa na ratiba ya kuaga maana hakufa Bali alihama kituo, jeneza a.k.a Sanduku la agano alikupaswa kufunikwa na mchanga lililokuwa limebeba viungo vyake, ni zege tu ambapo hata enzi za mitume Yesu waliwekwa mapangoni,
SHIKA NENO TENDA NENO ULIYEPEWA NEEMA KUBWA HAPA
NI HERI ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI KULIKO KUWA MSHABIKI WA YANGA.... BORA ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI HATA KAMA KUNADOSALI KULIKO WAFUASI WA WANASIASA NA WAGANGA....MAANA HATA USIPOBARIKIWA BASI ANGALAU UTAJIFUNZA BIBLIA NA KUPUNGUZA UHALIFU INCHINI...bible say; Heri wale wasio enenda na wenye mizaha...
Hao watu akili zao huwa wanaziweka kwenye maKABATI wanatumia za wengine...wapo jamaa zangu wawili....Nyakati flan walikuwa vzr sana kifedha nilikuwa naabudu nao KKKT sijui nani kawapeleka huko....wamefilisika ukikutana nao wamechakaa hata mia hawana...sijui wanalishwaga nini hata hawatumii akili zao za kuzaliwaYaani jeneza mdio unaliita Sanduku la Agano? Hivi unalijua sanduku la agano kweli hii ni kufuru.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] washaa motoooNgoja tufunge kwa ajili yenu tuone kama Mungu tunaemwabudu yupo au hayupo alfu mtatoa majibu wenyew haiwezekani mkamkejeli Mungu wetu kiasi hiki kwa kumtukana ivii hapana sasa tupo kazin endeleeni
Umenikumbusha ya Yehova Wanyonyi ! .......wamemuombea kibali cha mazishi lakini wanadai kapaa mbinguni ! Ndio maana tunawappeleka watoto wetu Madrasa ili wasipitiwe na mitego hii ya bei rahisiWanasema mwanzilishi wao alichukuliwa mbinguni. na siku aliyochukuliwa lilitokea tetemeko pamoja na wingu kubwa sana wakamuona huyo nabii akipaa mbinguni. Hiyo siku sijui nilikua wapi maana sijawahi sikia tetemeko
Maono kumtegemea mtu mmoja ni hatari..akifa anaondoka nayo .Kuna kanisa lao hao jamaa nalifahamu Kibaigwa. Ni kama linapoteza waumini kila kukicha. Walikuwa na mbwembwe za kupiga mziki mkubwa kila saa kumi alfajiri siku hizi hakuna hiyo. Na hii imeanza baada ya Munuo kufariki.
Huyo jamaa aliishi kiujanja ujanja!RIP MUNUO!
asante sana... baba yangu mdogo JOSEPH MARUWA AKA YEREMIA RIP naye pia alikuwa mwamini mzuri wa hilo kanisa.Huyo jamaa aliishi kiujanja ujanja!
Lakini ni kukiri kuwa sote ni wadhambi hivyo tutubu na kuomba.
Mwenzetu alilipotosha Neno ili anufaike nalo.
Aliacha kazi TANESCO na kunzisha hili janisa katika kiwanja cha jirani yake, kiwanja ambachi kilikuwa na mgogoro.
Miaka ya 90 tulikuwa tunsali wote pale Mbezi KKKT, na alikomba waumini wengu toka hapo.
Imani kuwa watu hawafi kwa ugonjwa na wala hawatumii dawa ni mfano wa upotishaji Neno.
Binafsi nawafahamu watu wawili kutoka SILOAM waliokufa kwa msimamo huo.
Tujue jinsi alivyokufa.
Inaelekwa alikanyaga msumari na akapata tetanus, na ili asionekane mnafiki hakuenda 1hospitali.
Ndo ukawa umauti wake, kijana mdogo hana hata makumi mawili matatu!
Funzo, tuheshimu kazi ya Mungu, la sivyo tujitayarishe kwa madhara yake.
duuu..Hii ndiyo ilivyokuwa siku ya kutwaliwa eliya Mungu Wa majeshi. Tizama wingu lilivyobadilika, hakukuwa na ratiba ya kuaga maana hakufa Bali alihama kituo, jeneza a.k.a Sanduku la agano alikupaswa kufunikwa na mchanga lililokuwa limebeba viungo vyake, ni zege tu ambapo hata enzi za mitume Yesu waliwekwa mapangoni,
SHIKA NENO TENDA NENO ULIYEPEWA NEEMA KUBWA HAPA
NI HERI ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI KULIKO KUWA MSHABIKI WA YANGA.... BORA ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI HATA KAMA KUNADOSALI KULIKO WAFUASI WA WANASIASA NA WAGANGA....MAANA HATA USIPOBARIKIWA BASI ANGALAU UTAJIFUNZA BIBLIA NA KUPUNGUZA UHALIFU INCHINI...bible say; Heri wale wasio enenda na wenye mizaha...
Mzee Maruwa ni mmoja ya hao ninaowafahamu.asante sana... baba yangu mdogo JOSEPH MARUWA AKA YEREMIA RIP naye pia alikuwa mwamini mzuri wa hilo kanisa.
pamoja na yote kuna vitu alivyo kuwa anahubiri... vimenigusa!
mfuasi nn[emoji2] [emoji2]Acha chuki binafsi ndugu kwa wachaga uunapotoa maoni tafiti kwanza. Wamiliki na waanzilishi hawa ni Wachaga?: Kakobe, MWINGIRA, Lwakatare, Fernando, Gamanywa, Gwajima, Lusekelo, Katunzi, Maboya, Mkombo, Winners, Yaspi, Kulola, Bendera, Malisa, Makuti Kawe, GeoDave list continues. Hawa nao wako vizuri kimaisha wengine hadi kumiliki ndege. Hao ni Wachaga? Aliyeachiwa Sloam si Mchaga ni Mha msomi Wa PhD naye anaendelea vizuri. Hujaona msaada waliotoa kwa jamii wiki iliyopita?
Duh dunia ndogo sana. ...baba yangumdogo aliteseka sana na magonjwa. ...kuishi duniani kunahitaji hekima na busara za MWENYE ENZI MUNGU. ..yaani. ..sad hakika!Mzee Maruwa ni mmoja ya hao ninaowafahamu.
Alikuwa mzee wetu wa Kanisa Mbezi KKKT.
Mke wake amelihama kanisa la SILOAM.
Duh dunia ndogo sana. ...baba yangumdogo aliteseka sana na magonjwa. ...kuishi duniani kunahitaji hekima na busara za MWENYE ENZI MUNGU. ..yaani. ..sad hakika!
AMUN RAPole Sana mkuu