Utata: Kanisa la Siloam

Isaya 62:4 hutaitwa tena aliyeachwa, wala nchi yako haita itwa tena, ukiwa; bali utaitwa HEFSIBA; na nchi yako BEULA kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa
Asante.
 
Ngoja tufunge kwa ajili yenu tuone kama Mungu tunaemwabudu yupo au hayupo alfu mtatoa majibu wenyew haiwezekani mkamkejeli Mungu wetu kiasi hiki kwa kumtukana ivii hapana sasa tupo kazin endeleeni
 
Najiuliza siku dunia ilivyotetemeka mie nilikua dunia gani. maana sijawahi kusikia tetemeko lolote katika maisha yangu

Labda ni tetemeko la mwili au roho Si la ardhi Si unajua manabii tena
 
Nabii apitabiri nini kutoka kwake Mungu....kwanza alijiita Adam wa pili....hivi unamjua Adam wa pili....

aliamua kujiita hivyo! nadhani kila mtu na imani yake... na kwa nini nisimjue ADAM WA PILI! RIP Munuo!....hata wewe au mimi tunaweza kuanzisha makanisa yetu na tukajiita tunavyotaka! tumepewa amri kuu moja TUPENDANE.....busara na hekima muhimu sana...barikiwa my friend
 


Mbona juzi niliwaona na mavazi yao meupe huku Arusha? Ban imeisha?
 
tunahitaji makanisa machache tu tu hatuhitaji utitiri wa makanisa kwa ajili ya wachungaji wachache kujitajirisha!
 
Kigendochakungoa gandala biblia NA kutoamini amakukataa maandiko ndan loh
 

Asante kwa baraka. Lakini ndugu kama ni msomaji mzuri wa biblia utagundua Adam was pili ni Yesu na kwa imani ya kikristo Yesy ni Mungu inamaana Munuo alijiita mungu kwa maana nyingine
 
Hahahhahaha umenichekesha sana asee eti mti wa uzima....amekua yesu sasa...vp na ww ndo ulipewa hilo siku za ajabu nn
Nilitaka niulize hilo swali, nikasita. Maana majina yao sasa, mara kizazi cha Nne cha Eliya, mara Hakikazi, mara mwaka wa mafanikio eliya etc etc
 
Asante kwa baraka. Lakini ndugu kama ni msomaji mzuri wa biblia utagundua Adam was pili ni Yesu na kwa imani ya kikristo Yesy ni Mungu inamaana Munuo alijiita mungu kwa maana nyingine

Kumbuka YESU alivyo shtakiwa na mafarisayo, walimshutumu kuwa anasema yeye ni MUNGU, YESU aliwajibu, 'kumbuka MUNGU alimwambia nini Musa, leo hii nimekufanya Mungu juu ya Farao'.... alafu kwenye agano la kale...'tumfanye mtu kwa mfano wetu'.... kuna sehemu nyingi tu kwenye BIBLIA yenye maelezo kama hayo.
Sasa inategemea huyo mtumishi, nabii, mchungaji, n.k wanasimamia neno lipi.
kwa kweli MWENYE ENZI MUNGU ni mkuu sana ndiyo maana tunalisoma neno, tunasikiliza mahubiri, lakini ROHO MTAKATIFU aliyeko ndani yako ndiye atakayeshika maneno yatakayo endana na kazi yako hapa duniani ili uweze kuwasaidia watu wanao kuzunguka...

samahani, i hope umeelewa, maana kuandika kuna wenyewe...hahaha!

mimi kwenye nafsi yangu sipendi kubeba ushindani wa aina yeyote! nafahamu kuwa YESU NI ADAMU WA PILI...
neno nitakalo kuachia; UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MBINGUNI NA HAKI ZAKE NA MENGINE YOTE MTAZIDISHIWA...barikiwa sana my friend
 
Yule mchungaji\mmiliki wa efatha ile kesi yake imeishaje??
 
Imani hii inakwaza pale wanapowazuia wagonjwa kwenda hospitali
 
Kwani hujui kama Biblia inaitwa NENO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…