Utata: Kanisa la Siloam

Nimeipenda hii
 
ni vyema serikali iweke masharti makali km rwanda namna ya kuanzisha haya makanisa mana makanisa mengi kwasas si makanisa bali ni biashara za watu na utapeli mkubwa watu sasa wamefanya chaka la kujifichia biashara zao maovu yao ili tu wapate kukwepa kodi kwa kisingizio cha dini..kanisa hili la siloam limeharibu watu wengi sana mmjawapo ni mdogo amekua km taahira hataki fanya kazi wala hana ushirikiano na familia yt.amepoteza biashara zk zt chanzo ni hawa matapeli wa siloamu.haya makanisa ya sas ni biashara tu.. watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Kuna kipindi nilipitia mwanza nikaona kanisa lao lililo jirani na night club za villa park resort na the kiss likiwa mahututi kabisa kuelekea kufa
 
wanaamini kuna nguvu katika jina lako....na mambo mengi mno, very interesting kusema ukweli! tafuta cd zao usikilize....
Sio muumin wa hilo kanisa.

Bt ni kwel jina linabeba nguvu.
Lakin haimaanish mtu ndio abadirishe jina; yatupasa kuombea majina yetu tu ili yakae ktk uwepo wa Mungu
 
Sio muumin wa hilo kanisa.

Bt ni kwel jina linabeba nguvu.
Lakin haimaanish mtu ndio abadirishe jina; yatupasa kuombea majina yetu tu ili yakae ktk uwepo wa Mungu

hapo sasa ni kadiri ya imani yako, kwenye BIBLIA agano la kale na jipya yote yameandika kuhusu mtu aliye badilishwa jina... sio wote!
kuna ule msemo wa nyama meza, mafupa uteme! ubarikiwe sana my dear
 

What matters Ni: Jengo lilinunuliwa na board ya Kanisa au Mchungaji alinunua kwa jina lake? Vitasa na bla bla nyingine hazina maana! Wachungaji wamekuwa wajanja eti, kanisa lazima Liwe na board
 
hapo sasa ni kadiri ya imani yako, kwenye BIBLIA agano la kale na jipya yote yameandika kuhusu mtu aliye badilishwa jina... sio wote!
kuna ule msemo wa nyama meza, mafupa uteme! ubarikiwe sana my dear
Kuna mahali ktk kitabu cha isaya.( nitakiweka hapa nikitulia)

Kinasema hutaitwa tena mkiwa bali Hefsiba yaan Sifa. Na nchi yako itwaitwa beula

Kumbe tuna nguvu ya kubadirisha majina ktk ulimwengu wa roho.

Haijalishi tuna majina gan dunian lakin tuna uwezo ya kuyaweka wakfu majina yetu na yakatupa sifa na baraka.

Tunavuliwa utu wa kale tunavalishwa utu mpya.

Kwa iman.

Shida moja tunayumbishwa kila kukicha kama kondoo aliye kosa mchungaji.

Tunategemea watu kuliko Mungu.

Mungu anaish ndan shida hatujui nafas ( position) zetu ktk ulimwengu wa roho.

Tuzid kujifunza zaid. Amen
 

Acheni masihara na kuchezea akili za watu, msione watu wote hawana akili, mlisema alipaa hakufa huyo nabii wenu, mlichokuwa mmeweka kwenye jeneza ni nn?? Acheni utapeli wa fedha za waumini wenu!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tena sio soalom pekeyao makanisa yote yanayojiita ya kiroho yachunguzwe upya tafadhali,makanisa haya yamewakosanisha wanandoa wengi,wanawake mwenye pesa, au wakijiunga na haya makanisa wataachanishwa au maelewano hupungua,mke humsikiliza kiongozi wake wa kanisa tu.​
 
Kufuatia minon'gono hii nimezuru kanisa hili hapa Makonde Mbezi. Nimekuta kanisa limefungwa na nilihojiana na muumini mtunza funguo ambae alinitaarifu kwamba huduma ndani ya kanisa hili zimezuiwa na serikali nchini kote Kwa wiki tatu.
Sababu kuu ni mgogoro uliojitokeza ambapo aliechukua nafas ya Bwana Munuo ameamua kubadili katiba ya kanisa
Sababu ilionifanya nipatembelee:
1. Ukaribuu
2.Kuna ndugu yangu aliacha chuo Kwa hii imani
Kwa inavyosemekana alitoa mil. 16 za madawati ili alisajili upya kwa jina lake.
 
Daah....Mkuu hebu peleleza utujuze zaidi.n
 
Kuna binti mmoja kila akiongea na mama yake utasikia ngoja nihakikishe kwa mama mchungaji.....yaani mama hathaminiwi tena. Sasa sijui ile Amri ya 'waheshimu baba na mama' inaelekezwa kwa mchungaji na mama mchungaji? Kwa wake za watu huu ni msiba maana wanaenda kutakaswa mpaka wanachelewa kupika chakula cha jioni.
 
Siloam? Naona mauza uza tu. Hivi ndio hawa wanaotoa maganda (cover) ya biblia na kuweka ganda la rangi gani sijui?
 

Isaya 62:4 hutaitwa tena aliyeachwa, wala nchi yako haita itwa tena, ukiwa; bali utaitwa HEFSIBA; na nchi yako BEULA kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa
 
Daah....Mkuu hebu peleleza utujuze zaidi.n
. sawa Mkuu, Kwa inavyoonekana huyu jamaa wa Kigoma alitaka alete wanayodai mafunuo mapya na kuasi mafunuo ya Munuo kwamba watu wao wanaowaita wathabiti( mean kwamba walio na imani kubwa among them) wamekua wakifa ovyo siku hizi.
- Kinachoonekana mama anataka kuzidiwa kete na jamaa.
- Wana ban ya wiki tatu ili wajirekebishe na inavyoonekana kuwa kama zamani ni ngumu sasa.
- Nimesikia makanisa yao yote yamepigwa stop na wizara ya mambo ya ndani.
- Mimi kwa mawazo yangu naona bora hata wafungiwe maana kuna mambo waliokuwa nayo ya kufanya waonekane watu wa ajab.MF. siku moja nilienda kusali kwao nikasikia wanasifu ajali ya MV islanders ile ya Zanzibar, kwa hio hua kuna wakati wanahubir chuki.
staili ya kubadili majina nayo ni ya ajabu maana ukimuulizia ndugu yako Mara wakuulize yule Hakikazi Mara Elimu, Mara ufunuo, hekima, Fimbo ya MUSA etc.

Daah....Mkuu hebu peleleza utujuze zaidi.n
 
Daaah....mbona ni full vituko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…