Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
mimi ni mchaga pia halafu mbadilike acheni ujinga......Acha chuki binafsi ndugu kwa wachaga uunapotoa maoni tafiti kwanza. Wamiliki na waanzilishi hawa ni Wachaga?: Kakobe, MWINGIRA, Lwakatare, Fernando, Gamanywa, Gwajima, Lusekelo, Katunzi, Maboya, Mkombo, Winners, Yaspi, Kulola, Bendera, Malisa, Makuti Kawe, GeoDave list continues. Hawa nao wako vizuri kimaisha wengine hadi kumiliki ndege. Hao ni Wachaga? Aliyeachiwa Sloam si Mchaga ni Mha msomi Wa PhD naye anaendelea vizuri. Hujaona msaada waliotoa kwa jamii wiki iliyopita?
Najiuliza siku dunia ilivyotetemeka mie nilikua dunia gani. maana sijawahi kusikia tetemeko lolote katika maisha yanguiko kwenye youtube.....mazishi ya nabii eliya..
Ujinga gani? Kweli unawachukia list yote hiyo bado unawangangania? Usiwahukumu watu kwa hisia za chuki uuwe unafanya research kabla ya kuchangia mada.mimi ni mchaga pia halafu mbadilike acheni ujinga......
Sijawahi kurusha nafsi yangu huko wala sitakaa niende. Nina Imani isiyoyumbishwa na Cult yoyote inayoanzishwa duniani enzi hii.Msingi wangu uko kwenye Bible na nitailinda hadi mwisho wa uhai wangu. Sihangaiki ila huwa nawasikiliza baadhi ya niliowataja na kusoma wasifu wao. I am life long Lutheran nobody can shake my belief ndugu. Sijapungukiwa chochote ninaenda bible study, fellowship na Sunday Mass. Alfajiri nashukuru Muumba wangu Na kujikabidhi kwake, Usiku nashukuru natubu najiweka tena mikononi kwake: Daily life. Nikatangetange huko Na huko natafuata nini tena?mimi ni mchaga pia halafu mbadilike acheni ujinga......
eti phd[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli binadamu mnyime elimu umtawale...... sasa ulikuwa unaenda huko ajili ya phd ya munuo!?
mbona hakupaa si alisema hatakufa....... kagombee mali mkuu
Hujasema kanisa lipo wapi kiongozi?Habari zenu wanajamvi,
Hivi karibuni kumekuwa na utata hapo kanisani. Kwamba inavyoonyesha kuwa baada ya kifo cha mwanzilishi wa kanisha hilo Elia R.I.P kumekuwa na utata unaonekana umekaaa kimaslahi zaidi.
Hali ipo hivi. Mke wa mwanzilishi wa kanisa hilo anaidiwa kutaka kujimilikisha kanisa hilo ili aweze kufanya yale anayotaka hapo siku za mbeleni.Kumekuwa na migongano ya hoja hata kufikia walinzi kupewa oda ya kuzuia waumini kuingia kanisani hapo.
Habari nilizopewa na muumin wa muda mrefu wa kanisa hilo kuwa sasa, kulikuwa na plan za kubadilisha vitasa vya vilango ili kufungwa kwa kanisa ilo.
Waumini wa kanisa hilo na watu waishio around na kanisa hilo wanaeza kutujuza zaidi.
Huyo nabii alishasema kuwa alimuuwa shetani
Mwaka 2005...hatari sana shekhe!
siwachukii wachaga nwchukiw makanisa ya kiroho ambao viongozi wake wengi hawana tofauti na wagnga wa kienyeji.. nawajua wengi tu.. na najua wanqyofanya so siwezi hata siku moja kukanyaga makanisa hayoUjinga gani? Kweli unawachukia list yote hiyo bado unawangangania? Usiwahukumu watu kwa hisia za chuki uuwe unafanya research kabla ya kuchangia mada.
nabii ashuke tena, ni shida mapema sana watu hatujatubu madhambi tuliyonayo...weeeeeee.e.e.e..e.Kama vipi huyo nabii ashuke fasta aje atatue mgogoro alafu arudi zake mbinguni
Najiuliza siku dunia ilivyotetemeka mie nilikua dunia gani. maana sijawahi kusikia tetemeko lolote katika maisha yangu
Acha chuki binafsi ndugu kwa wachaga uunapotoa maoni tafiti kwanza. Wamiliki na waanzilishi hawa ni Wachaga?: Kakobe, MWINGIRA, Lwakatare, Fernando, Gamanywa, Gwajima, Lusekelo, Katunzi, Maboya, Mkombo, Winners, Yaspi, Kulola, Bendera, Malisa, Makuti Kawe, GeoDave list continues. Hawa nao wako vizuri kimaisha wengine hadi kumiliki ndege. Hao ni Wachaga? Aliyeachiwa Sloam si Mchaga ni Mha msomi Wa PhD naye anaendelea vizuri. Hujaona msaada waliotoa kwa jamii wiki iliyopita?
Jiunge na wachawi utaona ya kila design
Hii ndiyo ilivyokuwa siku ya kutwaliwa eliya Mungu Wa majeshi. Tizama wingu lilivyobadilika, hakukuwa na ratiba ya kuaga maana hakufa Bali alihama kituo, jeneza a.k.a Sanduku la agano alikupaswa kufunikwa na mchanga lililokuwa limebeba viungo vyake, ni zege tu ambapo hata enzi za mitume Yesu waliwekwa mapangoni,
SHIKA NENO TENDA NENO ULIYEPEWA NEEMA KUBWA HAPA
NI HERI ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI KULIKO KUWA MSHABIKI WA YANGA.... BORA ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI HATA KAMA KUNADOSALI KULIKO WAFUASI WA WANASIASA NA WAGANGA....MAANA HATA USIPOBARIKIWA BASI ANGALAU UTAJIFUNZA BIBLIA NA KUPUNGUZA UHALIFU INCHINI...bible say; Heri wale wasio enenda na wenye mizaha...