Tuwekee hio TTT pdf mkuu tuoneNimeangalia pdf ya T.T.T najua hata kuona vijana kwa kama chambooo. Yanii ni sawa wewe ni beginner una attend seminar unaambwa forex usikate tamaa una lipa unasepa.
Hata nikiweka pdf yake hapaa kwa mzoefuuu ni nothing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo upuuzi kweli yaani unalipa hela unaenda kupewa morali,mizuka na kujazwa moyo then unasepa du huu ni uzwazwaNimeangalia pdf ya T.T.T najua hata kuona vijana kwa kama chambooo. Yanii ni sawa wewe ni beginner una attend seminar unaambwa forex usikate tamaa una lipa unasepa.
Hata nikiweka pdf yake hapaa kwa mzoefuuu ni nothing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Attacks from JF keyboard Warriors [emoji2]Dah......!hivi ni kwanini aliamua kujiondoa humu ndani...au ana multiple ID
Well said mkuu, hiyo strategy yake ni nyeupe vibaya mno na ndio huwa inanipa doubt za hizo screenshot ambazo anatuma kwenye social networks kuwa anamake hundred thousand kwa kutumia hiyo strategyNimeangalia pdf ya T.T.T najua hata kuona vijana kwa kama chambooo. Yanii ni sawa wewe ni beginner una attend seminar unaambwa forex usikate tamaa una lipa unasepa.
Hata nikiweka pdf yake hapaa kwa mzoefuuu ni nothing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawamuwezi hata kumsogelea ofisi yake wanaijua Ila hawawezi mfata wanaishia kuwa "KEYBOARD WARRIORS"[emoji2]Coca cola wanatengeneza bilioni of money..........hata usipokunywa soda hufi.
Kama tapeli mshitakini na sheria za nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza lia mkuu. Kama wewe ni trade mzurii uta sononekaaaTuwekee hio TTT pdf mkuu tuone
Jamaa ana risk 50 to 50 akikosaa huwa hatumii screen short.Well said mkuu, hiyo strategy yake ni nyeupe vibaya mno na ndio huwa inanipa doubt za hizo screenshot ambazo anatuma kwenye social networks kuwa anamake hundred thousand kwa kutumia hiyo strategy
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kichizi mzee mwenzangu, yani kama akipata loss moja inakula nusu mtaji
Kwahiyo hisa zinapanda tu hazishuki? Afu hisa gani za kibongo zipande kwa kasi hivo. Hakuna kampuni ya kuleta innovation hapa.Mtoa unajua njisi ya kununua hisa ?
Unajua njisi ya kuinvest kwenye bitcoin?
Dunia imebadilika sasa hivi mtu hutakiwi kusave tena ni muda kuwekeza utawekezaje kama hujui njisi ya kununua hisa
Mimi nikimfatilia Ontario nabeba elimu ya kuwekeza njisi ya kuinvest
Kuelewa njisi ya kununua hisa
Unaweza kununua hisa leo kwa $1500 baada ya miakaukapata $ 15000 hii pesa si nyingi Mkuu ukichomoa $ 12000 alafu akanunua hisa tena za $ 3000 baada ya miaka mitano tena ukivuna $ 20000 ujatoboa life tu Mkuu
Sio jamaa anafundisha tu forex hata kununua hisa ni elimu nzuri sana matajiri wote wananunua hisa hii ndio elimu bora
Ila wabongo wanasema Ontario tapeli tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hisa za Bitcoin, ndio hisa gani hizi ?Sasa ukinunua hisaa kama za bitcoin zikishuka jua huna kitu. Ni sawa hisaa za telsa ziko 900 ume nunua. Zikishuka kama ule mpolomoko wa bitcoin mzee hesabu majivuu.
Amekupa elimu nusuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya kununua hisa ni nzuri lakini sio kwamba ni straight forward mda wote, hisa za makampuni zinapanda na kushuka mda wote kwa hiyo unaponunua ni kwamba unaweza kuwa na hadi 70 percent ya kuongezeka na ukabaki na 30 percent ya kushukaMtoa unajua njisi ya kununua hisa ?
Unajua njisi ya kuinvest kwenye bitcoin?
Dunia imebadilika sasa hivi mtu hutakiwi kusave tena ni muda kuwekeza utawekezaje kama hujui njisi ya kununua hisa
Mimi nikimfatilia Ontario nabeba elimu ya kuwekeza njisi ya kuinvest
Kuelewa njisi ya kununua hisa
Unaweza kununua hisa leo kwa $1500 baada ya miakaukapata $ 15000 hii pesa si nyingi Mkuu ukichomoa $ 12000 alafu akanunua hisa tena za $ 3000 baada ya miaka mitano tena ukivuna $ 20000 ujatoboa life tu Mkuu
Sio jamaa anafundisha tu forex hata kununua hisa ni elimu nzuri sana matajiri wote wananunua hisa hii ndio elimu bora
Ila wabongo wanasema Ontario tapeli tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni tapeli tuu1)Ontario ndio binadamu pekee niliyemuwashia notification IG.
2)Ontario ndio kiumbe pekee nikiambia ni-unfollow wote nakubakisha mmoja atabaki yeye.
Ifahamike mpaka nikuwekee mtu notification ujue kuna kitu Extra-Ordiinary.
Sent using Jamii Forums mobile app
SijakuelewaaaHisa za Bitcoin, ndio hisa gani hizi ?
Hisa za telsa, telsa mapanzia mapya ?
Portfolio | 2020