Utata juu ya mwanaJF Ontario

Dah......!hivi ni kwanini aliamua kujiondoa humu ndani...au ana multiple ID
Kajamaa noma sana kalisemaga yale mambo yake ya Forex kule Jangid hata Maxence Melo alikua anajua kinachoendelea lkn Maxence akaja humu akakanusha kwamba huo ujinga wenu mimi sihusiki nao kwa chochote kile na msinihusishe nao,kajamaa kakapaniki ooh kama vipi naomba na a/c yangu humu JF ifutwe bla bla bla sijui iliishia wapi.

dodge
 
Ontario ndio mtu pekee aliyemrubuni Habibu A Anga kijana aliyekuwa anapendwa na watu wa rika zote humu JF kuandika uzi wa kizushi kuhusu forex raia walisanukia mchezo mpaka leo hii jamaa aliyekuwa anaonekana Genius hadhi yake kushuka mno.....
Kiukweli jamaa kwa viwango vya upigaji hakutakiwa kuzaliwa bongo either Nigeria au South Africa
 
Hata ukienda Bar unakuta kuna mjanja anauza vilezi watu wanalewa.
Anayepata maarifa kwa elfu 40 na anayelewa.....chaguo ni lako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coca cola wanatengeneza bilioni of money..........hata usipokunywa soda hufi.
Kama tapeli mshitakini na sheria za nchi
Huyo jamaa anawatapeli wale wanaojifanya wasomi huku akili zimefubaa ni bora sie la saba c tumeshapambana na tumeshajua maisha hayana njia ya mkato ila wale walioona wamepoteza mda mashuleni ndio wanataka pesa ya halaka wanapigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukienda Bar unakuta kuna mjanja anauza vilezi watu wanalewa.
Anayepata maarifa kwa elfu 40 na anayelewa.....chaguo ni lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Coca cola wanatengeneza bilioni of money..........hata usipokunywa soda hufi.
Kama tapeli mshitakini na sheria za nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta tangazo tunauza bia bei poa.....they only need your money

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi watu wanahela sana,mtu anakunywa konyagi akimaliza anatukana,anapuliza moshi(sigara),acha Ontario nae atumie njia zake ilhali tu hajamshikia mtu bunduki

Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa mbona unaandama sana bia mara konyagi mara bia mara kokakola mara konyagi

usifananishe hivi vitu na ujinga unaitwa sjui onyario

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasafishiki Hata Kwa Foma Gold!!!!!πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…
 
Huo ndio ujinga wa wabongo... Unalipa just for kuenda kuambiwa kuwa unaweza kuwa tajiri
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…