Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Pole sana mkuu ebu fanya mchakato wa kuwapeleka mahakaman na pia nikushauri kitu wakati unaandaa hizo makala weka makosa ya makusudi au code zozote mfano unaweza ingizia code za mwaka wako wa kuzaliwa au vyovyote vile ili mradi unaelewa wewe mwenyew tu ili kuwabana wapuuzi kama hao.
Ndio maana snunui magazeti wala kuyasoma jf inanitosha sana sasa kama wao wanatoa taarifa humu kuna haja gani ya kununua Gazeti Lao?
 
Mkuu pole sana! Nayaona bayana machungu unayoyapata kutoka kwenye tone yako!

Nilivoona tu jinsi hao watu wa gazeti la rai walivyoanza hiyo makala nimeishiwa pozi! Mwandiko wako ule ule bila kubadili hata neno[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] .

Shigongo naye ndo kaniacha hoi, Huyu ni mtu ambaye angekuwa mstari wa mbele kukomesha piracy hapa nchini lakini ndo anaongoza kikosi cha wizi!

Kuna siku nimeandika kwenye makala yako moja kuwa kwa kipaji chako hiki kama watu flani flani hawaoni umuhimu wa kukutumia basi watakuja kuona umuhimu huo wakati ambao muda utakuwa sio rafiki tena! Madhara yake ndo haya sasa yanaonekana!

Kwa jinsi nilivyoumia ningekuwa mwanasheria ningejitolea kuungana na jopo la wanasheria ulionao kuhakikisha maslahi yako yanapatikana! Bahati mbaya sana hiyo sio kada yangu! Ila nakuombea haki yako ipatikane!

By the way, stick to your JF signature! Ulifikiria mbali kuiweka hiyo sahihi
 
Hizo ni conspiracies tu mkuu,hakuna ukweli wowote.
Watu wengine sijui wanakuwa na akili gani, yaani serious mtu anakuambia mke kashiriki kumuua mumewe.
Kuna mmoja hapo juu anadai eti kwa kuwa mke alimsogeza mumewe kwa kumkumbatia hivyo alikuwa anawasaidia wauaji kumuweka jamaa kwenye target hivi hawajiulizi kama ni kumsaidia muuaji aweze kulenga vizuri kwa nini amsogeze karibu yake je muuaji akikosa target na kumfumua yeye kichwa? Kumbuka target ipo kwenye gari na inatembea lolote laweza tokea
 
Habari wakuu,

Naomba mniwie radhi kwa kuwa kimya, kuna changamoto imejitokeza...

Gazeti la RAI wanafanya uhuni kwa kuiba hii makala humu na kwenda kuichapa huko kwenye gazeti lao bila kunitaarifu au makubaliano yoyote.

Hili suala limeniuma sana sana wakuu, kuandika hizi makala ni kazi nzito na inahitaji kujitoa hasa... Inatumia muda mwingi, kutafiti na kukaa chini kuandika na pia kuumiza akili ili kuweza kuandika kwa ubunifu itoke makala ya kuvutia.! Bila kusahahu kuwa pia kuna rasilimali natumia ili kufanikisha haya yote... Rasilimali fedha na rasilimali muda!

Mara nyingi inanibidi nijibane muda wangu mchana nifanye mizunguko yangu mingine halafu usiku nisilale ili nijipe muda wa kuandika hizi makala.! Inauma sana pale wanapojitokeza wahuni fulani na kunakili andishi langu na kwenda kulitumia pasipo ruhusa yangu, wala kunitaarifu au makubaliano yoyote!

Mwaka jana pia ilitokea changamoto kama hii kwa gazeti la Kisiwa kunakili makala yangu ya "Geranimo" na tulisumbuana sana..

Niko natafuta msaada wa kisheria ili kuona nashughulikia vipi changamoto hii ya uhuni uliofanywa na gazeti hili la RAI...

Hapa chini nimeweka screenshots kutoka katika tovuti yao...

e0bad7ca80b33f3570d386aaeebdadd5.jpg

5ae0555d47d4c13b99ef5c4bc96647c6.jpg

267f078f4c123bec819d2856b6aa4152.jpg

e96b76e24a96243285f52b98f8d308e0.jpg

Na si hawa tu, Shigongo moja ya watu ninao waheshimu sana amefanya uhuni kama huu kupitia tovuti yake ya Global Publishers kwa kunakili makala yangu ya "Plata O Plomo" kuhusu maisha ya Pablo Escobar...

Nimeweka screenshots hapa chini pia...

Wakuu, hili suala limeniuma sana moyo, haiwezekani mimi niteseke kukesha usiku kuandika halafu wahuni fulani wanakuja kujinufaisha kwa kazi zangu bila makubaliano nami...
Niko natafuta msaada wa kisheria nione nafanyaje! Pia naomba ushauri wako kwa namna yoyote unayohisi inaweza kunisaidia kuwawajibisha hawa wahuni..

ac7f8c23f6934066dc13fa68721a2422.jpg

1ccc92a0eebab2a2537b0d19bce3eea6.jpg

327fa833eef4628a4cebae006e28e046.jpg

Inauma sana wakuu!!
Mkuu nenda kwenye bandiko lako juu ya hii mada, nimeweka maoni machache hapo...
 
mkuu pole sana. fuata utaratibu wa kisheria uwawajibishe tena uanze na shigongo. unaumiza yeye anakula kiulaini tu
 
Hizo ni conspiracies tu mkuu,hakuna ukweli wowote.
Ukiangalia hata kipande cha video Jackie hakuonyesha kushitushwa na risasi ile ya maraya Pili iliyompasua kichwa JFK ...licha ya kutisha kwa tukio lakini Jackie hakuonyesha kushtushwa ukizingatia mioyo ya wanawake ilivyo.Badala yake alionekana kunyanyuka kukimbilia nyuma kuokota kipande cha mfupa au fuvu nyuma ya gari.Nadhani hata ingekuwa mwanaume kama huusiki na hufahamu ninikinaendelea angepatwa na mshangao haswa kufumuka kwa kichwa cha JFK.
Zipo evidence nyingi zinazo muhisisha Jackie na kifo cha JFK.Lakini tumuachie mleta mada mpaka mwisho
 
Mkuu pole sana! Nayaona bayana machungu unayoyapata kutoka kwenye tone yako!

Nilivoona tu jinsi hao watu wa gazeti la rai walivyoanza hiyo makala nimeishiwa pozi! Mwandiko wako ule ule bila kubadili hata neno[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] .

Shigongo naye ndo kaniacha hoi, Huyu ni mtu ambaye angekuwa mstari wa mbele kukomesha piracy hapa nchini lakini ndo anaongoza kikosi cha wizi!

Kuna siku nimeandika kwenye makala yako moja kuwa kwa kipaji chako hiki kama watu flani flani hawaoni umuhimu wa kukutumia basi watakuja kuona umuhimu huo wakati ambao muda utakuwa sio rafiki tena! Madhara yake ndo haya sasa yanaonekana!

Kwa jinsi nilivyoumia ningekuwa mwanasheria ningejitolea kuungana na jopo la wanasheria ulionao kuhakikisha maslahi yako yanapatikana! Bahati mbaya sana hiyo sio kada yangu! Ila nakuombea haki yako ipatikane!

By the way, stick to your JF signature! Ulifikiria mbali kuiweka hiyo sahihi
huu ushauri ni mzuri na sahihi
 
mkuu the bold umenifanya kuwa mshabiki wa jukwaa hili siku ukiendeleza story hii pls naomba usinisahau mkuu
 
Ukiangalia hata kipande cha video Jackie hakuonyesha kushitushwa na risasi ile ya maraya Pili iliyompasua kichwa JFK ...licha ya kutisha kwa tukio lakini Jackie hakuonyesha kushtushwa ukizingatia mioyo ya wanawake ilivyo.Badala yake alionekana kunyanyuka kukimbilia nyuma kuokota kipande cha mfupa au fuvu nyuma ya gari.Nadhani hata ingekuwa mwanaume kama huusiki na hufahamu ninikinaendelea angepatwa na mshangao haswa kufumuka kwa kichwa cha JFK.
Zipo evidence nyingi zinazo muhisisha Jackie na kifo cha JFK.Lakini tumuachie mleta mada mpaka mwisho

mkuu tupia evidence ulizo nazo ndiomana ya mjadala
 
Stori ya mauaji ya JFK inasisimua hapohapo huwa inatia simanzi na huzuni hasa ukizingatia jinsi watu wa familia yake walivyokufa kiajabu ajabu na kuacha maswali mengi kuliko majibu.

Kuuwawa kwa JFK kisha baadae Robert F. Kennedy ( RFK ) ni ishara tosha ya faulo kuchezeka tena kwa makusudi.

Naifatilia makala mkuu kwa makini, ili niongeze ujuzi zaidi, asante kwa kunitag.

Ubarikiwe.

mkuu huyu RFK alikuwa ni nani yake na kufa kwake ilikuwaje???na je kuna mwanafamilia gani mwingine wa JFK aliekufa kiutata??
 
Kuna siri nzito kati ya Marekani na Vatican chini pope,rais yeyote wa marekani atakayepingana na utawala wa Vatican kitakachompata ni km ilivyotokea kwa Kennedy na marais waliopita. Hili kundi LA Jesuits ni hatari na kitisho zaidi dunianj kuliko wengi wanavyofikiri na kuaminishwa propaganda za ugaidi

weka ushahidi mkuu juu ya haya unayonena ili utufungue nasie tuliopitwa na ya ulimwengu
 
Mkuu no one like kwa Tizii now, umemtoa kwenye reli mbabe fulan hivi, mie niliikosa G. E. R. A. M. I. N. O.. naipataje?
 
Back
Top Bottom