Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

naomba uwe unani tag maana huwa nakufuatilia sana kwenye nyuzi zako,kila wakati huwa naingia kwenye hili forum ili kuona kama umetoa kitu kipya
siku ikipita sheria kuwa kuquote story nzima utakula ban naona ndio siku mtakaoacha huu mchezo sio siri mnakera
 
siku ikipita sheria kuwa kuquote story nzima utakula ban naona ndio siku mtakaoacha huu mchezo sio siri mnakera
Punguza hasira bibie, halafu kumbe kuna stori kali hivi hata kunistua hamna daah
 
Asante The Bold

Asanteni na mnao quote story nzma ili uandke maneno yako mawili

Raha na karaha[emoji23] , thanks JF
 
Kuna siri nzito kati ya Marekani na Vatican chini pope,rais yeyote wa marekani atakayepingana na utawala wa Vatican kitakachompata ni km ilivyotokea kwa Kennedy na marais waliopita. Hili kundi LA Jesuits ni hatari na kitisho zaidi dunianj kuliko wengi wanavyofikiri na kuaminishwa propaganda za ugaidi
 
Raha ya kuwa na kipaji cha lugha mbali mbali (Linguistic ) na kujua kuandika kwa Ku summarize mawazo makuu. Hongera sana mkuu the bold & ur associate Nifah mko njema sana kwenye Dj.mafufu wa kuandika story.
 
Kumuibia maandishi @[The Bold] haisaidii labda umuibie kichwa chake.

Bigup man,unatisha kama jasusi...
 
Back
Top Bottom