Utata Juu ya Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea.

Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ;

1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma
2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani) kilikuwa ni Natural death

1. Rais JPM Uhai wake Ulikatishwa Madhuluma

a. Ugeni wa Chato, wengi wanaamini ugeni wa Chato kutoka China ulienda kwa dhumuni maalum... baada ya hapo things changed
b. Induced Poison iliyoimaliza almost watu wake wa karibu mpaka moja ya Mlinzi wa JPM, mbali na kina Kijazi na wale wengine. Mpango pia aliponea tundu la sindano . Nadharia hii inasema kwamba mchakato huu ulihusisha watu wa karibu. Aidha mabeberu na makampun makubwa ya ndani did the roadmap.

c. JPM alikuwa na ishu ya Atrial Fibrillation.Kifaa chake maalum electronic pacemaker ( regualting heart rhythms) kilichakachuliwa electronically from service provider hackers. Kilipoteza uwezo taratibu. Taarifa hii pia iliripotiwa na Africa Intelligence .
d. Moshi wa Mtwara ( hoja dhaifu) , baada ya Moshi wa Mtwara hali ya JPM haikuwa sawa tena.
f. Kuikataa COVID pamoja na chanjo.Hivyo roadmap ikachorwa kutoka kwa mabeberu kwa kushirikiana na internal

Kwa sababu hizi upo uwezekano Madhuluma ilitokea

2. Kifo cha JPM kilikuwa ni Natural death

a. JPM alikuwa ni mgonjwa tangu zamani, alikuwa na tatizo la mfumo wa Umeme kwenye moyo. Kwa waliosoma nae wanatambua, Hii ilimpelekea JPM kutotakiwa kupanda ndege mara kwa mara kwasababu ya presssure taking off and landing and altitude issues
b. COVID 19 ilikuwa haipatani na watu wenye shida ya moyo na unene. Effects za COVID zinakuwa kali zikikutana na watu aina hiyo.
c. STRESS, ukiwa na heart issues , unatakiwa kukaa mbali na stress. JPM was hard working man na alikuwa sio mtoa maagizo, alikuwa ni mfuatiliaji. Alikuwa na Dayari yake kila agizo alilotoa anaandika . Kisha hata baada ya mwaka, atafungua dayari na kuulizia status kwa kumpigia simu MUHUSIKA. Walinzi wake hawakujua exact timetable yake.....ndio ile ZIARA za Kustukiza hii ilimfanya afanye kazi sana zenye stress hivyo kudhoofisha afya na utendaji wa moyo wake. ´
d. Wanasema mara kadhaa JPM alikuwa ana undergo fainting, hii ilipelekea kutembea na Ambulance ambayo ilikuwa full equiped.

Kwa sababu hapo juu kuna uwezekano mkubwa JPM had a natural death . Wapo wahuni wanatembea na hiki kifo kuwa waliki design ili waogopwe na waonekane ni watu HATARI but kiuhalisia hawana ishu ni coward tu.

Baada ya kifo cha JPM;

Chap. chanjo iliingia na ikafanyiwa advocacy
Chap COVID ilipotea, hatukusikia tena ishu za COVID
Chap, ikaanza kufanyika advocacy ya chini chini kuua jitihada za JPM

kifo cha Hayati Dkt JPJM kitabaki kuwa ni imani. Kila mtu ataamini kutokana na imani yake na mafundisho.

Usibadili imani yako.
 
Attachments

  • IMG_4565.jpeg
    IMG_4565.jpeg
    60.9 KB · Views: 40
  • IMG_4564.jpeg
    IMG_4564.jpeg
    208.9 KB · Views: 28
Rest in peace Mwamba.

Kifo chako kimesababisha tumerudi nyuma Kama nchi hatua 2000000000 nyuma.

Umeme shida

Maji shida

Elimu imerudi nyuma

Barabara za daslam miradi haiishi Kwa wakati

Wezi wamerudi na wapigaji

Matunizi ya pesa zetu ya hovyo hovyo...
 
Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea.

Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ;

1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma
2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani) kilikuwa ni Natural death

1. Rais JPM Uhai wake Ulikatishwa Madhuluma

a. Ugeni wa Chato, wengi wanaamini ugeni wa Chato kutoka China ulienda kwa dhumuni maalum... baada ya hapo things changed
b. Induced Poison iliyoimaliza almost watu wake wa karibu mpaka moja ya Mlinzi wa JPM, mbali na kina Kijazi na wale wengine. Mpango pia aliponea tundu la sindano . Nadharia hii inasema kwamba mchakato huu ulihusisha watu wa karibu. Aidha mabeberu na makampun makubwa ya ndani did the roadmap.

c. JPM alikuwa na ishu ya Atrial Fibrillation.Kifaa chake maalum electronic pacemaker ( regualting heart rhythms) kilichakachuliwa electronically from service provider hackers. Kilipoteza uwezo taratibu. Taarifa hii pia iliripotiwa na Africa Intelligence .
d. Moshi wa Mtwara ( hoja dhaifu) , baada ya Moshi wa Mtwara hali ya JPM haikuwa sawa tena.
f. Kuikataa COVID pamoja na chanjo.Hivyo roadmap ikachorwa kutoka kwa mabeberu kwa kushirikiana na internal

Kwa sababu hizi upo uwezekano Madhuluma ilitokea

2. Kifo cha JPM kilikuwa ni Natural death

a. JPM alikuwa ni mgonjwa tangu zamani, alikuwa na tatizo la mfumo wa Umeme kwenye moyo. Kwa waliosoma nae wanatambua, Hii ilimpelekea JPM kutotakiwa kupanda ndege mara kwa mara kwasababu ya presssure taking off and landing and altitude issues
b. COVID 19 ilikuwa haipatani na watu wenye shida ya moyo na unene. Effects za COVID zinakuwa kali zikikutana na watu aina hiyo.
c. STRESS, ukiwa na heart issues , unatakiwa kukaa mbali na stress. JPM was hard working man na alikuwa sio mtoa maagizo, alikuwa ni mfuatiliaji. Alikuwa na Dayari yake kila agizo alilotoa anaandika . Kisha hata baada ya mwaka, atafungua dayari na kuulizia status kwa kumpigia simu MUHUSIKA. Walinzi wake hawakujua exact timetable yake.....ndio ile ZIARA za Kustukiza hii ilimfanya afanye kazi sana zenye stress hivyo kudhoofisha afya na utendaji wa moyo wake. ´
d. Wanasema mara kadhaa JPM alikuwa ana undergo fainting, hii ilipelekea kutembea na Ambulance ambayo ilikuwa full equiped.

Kwa sababu hapo juu kuna uwezekano mkubwa JPM had a natural death . Wapo wahuni wanatembea na hiki kifo kuwa waliki design ili waogopwe na waonekane ni watu HATARI but kiuhalisia hawana ishu ni coward tu.

Baada ya kifo cha JPM;

Chap. chanjo iliingia na ikafanyiwa advocacy
Chap COVID ilipotea, hatukusikia tena ishu za COVID
Chap, ikaanza kufanyika advocacy ya chini chini kuua jitihada za JPM

kifo cha Hayati Dkt JPJM kitabaki kuwa ni imani. Kila mtu ataamini kutokana na imani yake na mafundisho.

Usibadili imani yako.
Kama kweli JPM alikua scientist weka andiko lake la PhD hapa
 
Uchambuzi mzuri sana ambao kila ulicho gusia kinaketa mantiki.
Lakini ujumla wa yote lililotikea haliwezi kuwa tena kinyume chake, ukweli alifariki na kufariki kwake utata ni mwingi haidhuru sababu gani ilisababisha .

Ila kwa vile mwanadamu ameumbwa na hamu ya kujifunza kila siku ilikua ni vyema kungeanzishwa uchunguzi ninini haswa sababu ya kifo chake ili tujifunze na kuchukua tahadhari haswa kwa viongozi wakubwa wa kitaifa isije tokea tena hapo mbeleni.
 
Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea.

Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ;

1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma
2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani) kilikuwa ni Natural death

1. Rais JPM Uhai wake Ulikatishwa Madhuluma

a. Ugeni wa Chato, wengi wanaamini ugeni wa Chato kutoka China ulienda kwa dhumuni maalum... baada ya hapo things changed
b. Induced Poison iliyoimaliza almost watu wake wa karibu mpaka moja ya Mlinzi wa JPM, mbali na kina Kijazi na wale wengine. Mpango pia aliponea tundu la sindano . Nadharia hii inasema kwamba mchakato huu ulihusisha watu wa karibu. Aidha mabeberu na makampun makubwa ya ndani did the roadmap.

c. JPM alikuwa na ishu ya Atrial Fibrillation.Kifaa chake maalum electronic pacemaker ( regualting heart rhythms) kilichakachuliwa electronically from service provider hackers. Kilipoteza uwezo taratibu. Taarifa hii pia iliripotiwa na Africa Intelligence .
d. Moshi wa Mtwara ( hoja dhaifu) , baada ya Moshi wa Mtwara hali ya JPM haikuwa sawa tena.
f. Kuikataa COVID pamoja na chanjo.Hivyo roadmap ikachorwa kutoka kwa mabeberu kwa kushirikiana na internal

Kwa sababu hizi upo uwezekano Madhuluma ilitokea

2. Kifo cha JPM kilikuwa ni Natural death

a. JPM alikuwa ni mgonjwa tangu zamani, alikuwa na tatizo la mfumo wa Umeme kwenye moyo. Kwa waliosoma nae wanatambua, Hii ilimpelekea JPM kutotakiwa kupanda ndege mara kwa mara kwasababu ya presssure taking off and landing and altitude issues
b. COVID 19 ilikuwa haipatani na watu wenye shida ya moyo na unene. Effects za COVID zinakuwa kali zikikutana na watu aina hiyo.
c. STRESS, ukiwa na heart issues , unatakiwa kukaa mbali na stress. JPM was hard working man na alikuwa sio mtoa maagizo, alikuwa ni mfuatiliaji. Alikuwa na Dayari yake kila agizo alilotoa anaandika . Kisha hata baada ya mwaka, atafungua dayari na kuulizia status kwa kumpigia simu MUHUSIKA. Walinzi wake hawakujua exact timetable yake.....ndio ile ZIARA za Kustukiza hii ilimfanya afanye kazi sana zenye stress hivyo kudhoofisha afya na utendaji wa moyo wake. ´
d. Wanasema mara kadhaa JPM alikuwa ana undergo fainting, hii ilipelekea kutembea na Ambulance ambayo ilikuwa full equiped.

Kwa sababu hapo juu kuna uwezekano mkubwa JPM had a natural death . Wapo wahuni wanatembea na hiki kifo kuwa waliki design ili waogopwe na waonekane ni watu HATARI but kiuhalisia hawana ishu ni coward tu.

Baada ya kifo cha JPM;

Chap. chanjo iliingia na ikafanyiwa advocacy
Chap COVID ilipotea, hatukusikia tena ishu za COVID
Chap, ikaanza kufanyika advocacy ya chini chini kuua jitihada za JPM

kifo cha Hayati Dkt JPJM kitabaki kuwa ni imani. Kila mtu ataamini kutokana na imani yake na mafundisho.

Usibadili imani yako.
Kifo ni kifo tu ndugu yangu. Hata wewe siku yako ikifika, utaondoka kwa namna yoyote ile. Muhimu tu ufe, ok?
 
Yaa

Yaani ni utata mtatiziko mno ,aaah, basi , MUNGU ajua, aaah ! !
 
Back
Top Bottom