Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Kweli tulishabikia sana Chadema lakini wenzetu husema mwanajeshi bora huonekana siku kuna vita na hapa Dr. SLaa na Chadema bila ya kuwaficheni wanapata maksi kidogo nayo ni "D"...............................Nitafafanua............................
Leo gazeti la Mwanahalisi linatuhabarisha ya kuwa Dr. Slaa akidai ya kuwa watamshitaki JK Mahakamani kama hataanzisha mchakato wa katiba mpya.................jamani huyu ni mwanasheria kweli au mbambaishaji?
JK na CCM kwenye Ilani yao ya uchaguzi hawajawaahidi watanzania katiba mpya sasa utampeleka mahakamani kwa kutotekeleza Ilani ya chama chako ambacho kimeshindwa uchaguzi na wewe kukiri kwa kutokwenda mahakamani na kudai haki yako ya kimsingi.......................................
Huu kama siyo udhaifu wa kiuongozi basi nini?