Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,145
tupo wengi aisee
Sema mi nishazoea yan sinaga haraka na skukuu nakula kitakacho patikana nikishashib ni mmi na kitanga changu ni mwendo wa kulala tu
tena bora nikiwa na bando nawez kuwa online naview status kuona mitoko ya wendhangu
