Yani weweeee... unanitekenyaga sana humu JF kwa vituko vyako kila sikuIle mbona inajulikana kabisa kuwa sio sauti ya kawaida
Sema unajitekenya kituko kiko wapi hapoYani weweeee... unanitekenyaga sana humu JF kwa vituko vyako kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mambo ni mengi sana halafu muda ni mchache.
Sema unajitekenya kituko kiko wapi hapo
Sijafafanua sauti yake nimesema zile sauti za kubadilisha kwenye simu huwa zinajulikana tu kuwa ni artificialUlivyofafanua hiyo sauti ya aliyetapeli hiyo 20,000/= yani utadhani wewe ndiwe uliyeisikia vzr alipokuwa akiongea naye au wewe ndiye uliyemtapeli
"Ashakum si matusi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyomaana nakupenda sana mtoto mzuri, si unaona ss unavyonitoa ushamba Mwanaume wa mkoani, unadhani naelewa hata jns ya kutofautisha sauti za kitapeli?Sijafafanua sauti yake nimesema zile sauti za kubadilisha kwenye simu huwa zinajulikana tu kuwa ni artificial
Wengine wanasema,kapishana na gari LA mshahara.DEMU HUYO NI MZEMBE KAACHA HELA NYINGI SANA
20k ndio shilingi ngapi ?Amani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.
Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.
Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..
Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.
Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?
Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k
Cc Zero IQ
Tatizo unatongoza videm vya uswazi wala miguu na utumbo wa kuku wataalam wa vigodoro kichwani empty!!sijalia Ila nmemsikitikia, na imenishangaza.. Yaan pesa ndogo hivo mtu anakosa uaminifu.. Nimemuhurumia mno
Wengi hawaoni mbali wanaona kama wanatukomoaAmani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.
Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.
Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..
Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.
Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?
Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k
Cc Zero IQ
Kuna ukwli ndani yake hapaTatizo unatongoza videm vya uswazi wala miguu na utumbo wa kuku wataalam wa vigodoro kichwani empty!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ya huyo wa 20k je huyu wa 3500ππΏππππππHawa ndio wanasababisha wengine wakose kupewa hela hata wakiwa na njaa kweli...ila daah twentyπππππunamblock person?!chaaah!!!
sijalia Ila nmemsikitikia, na imenishangaza.. Yaan pesa ndogo hivo mtu anakosa uaminifu.. Nimemuhurumia mno