Utapeli wa wanawake..

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
6,532
Reaction score
11,027
Amani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.

Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.

Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..

Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.

Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?

Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k




Cc Zero IQ
 
Muda si mrefu utaanzishiwa thread...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…