jakarason1974
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 103
- 50
Mimi Mkazi wa Tandahimba vijijini bado natafakari kama Kikundi cha watu wengeomba michango kupitia mgongo wa changia Mahafa KAGERA halafu baadae wakazitumia tofauti na ilivyokusudia.. Hope sasa watu wengekua jela na wangeitwa MATAPELI.. Ila serikali ya Awamu ya Tano ikitumia michango tofauti na ilivyokusudiwa wanapigiwa makofi na kusifiwa....