Michango ya tetemeko la ardhi Kagera wahusika walipata?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,429
32,173
5.4 bilioni zilizochangwa kwajili ya waathirika wa tetemeko mkoani Kagera naomba kuuliza wanajukwaa hivi zile pesa ziliwafikia walengwa? Na kama hazikuwafikia walengwa zimekwenda wapi?
Naomba kujuzwa kwa anaejua mana tuna mtetezi wa wanyonge hasa unapopata janga kama hili ikiwa kuna mtetezi walau unafarijika.
Nawasilisha.
 
Labda kwa vile ushasema kuna mtetezi wa wanyonge huenda ikawa walipata.... LABDA
 
unataka kufukua makaburi eeeh.. Hukusikia bwana yule alitangaza kabisa hela za michango zilikuwa kwa ajili ya kutengeneza miundo mbinu na majengo ya serikali..? Na aliwaambia kabisa yeye hakuleta lile tetemeko na wala sisiemu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom