Meya wa Bukoba ahoji pesa za michango ya tetemeko la ardhi zimepelekwa wapi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
“Wale ambao wanafikiri kwamba, kwa Mkoa wa Kagera hali imerudi katika hali ya kawaida kufuatia madhara yaliyotokana na tetemeko la ardhi mwaka jana, huo sio ukweli kabisa hata Kata yangu ya Kahororo wananchi bado wanalala nje.

 
Mwaafwaaa poleni wana kagera inauma sana kwa yote yaliyowakuta
 
Rwakatare,mbunge wa Bukoba hasikiki kulisemea hili bungeni,bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ambaye ndiye hushughulikia maafa imeisha bila rwakatare kuongea
 
Hahahaha poleni wazee Wa katerero na mto ngono, ndo tayari mkulu kawazidi ujanja kawapiga katerero
 
Kwa kweli hii ni aibu kubwa kwa Mtawala anayejinadi kumtanguliza Mungu mbere!

Hawa wahanga wamekosa nini? Ipo siku mtatoa hesabu hii!
 
Kwa kweli hii ni aibu kubwa kwa Mtawala anayejinadi kumtanguliza Mungu mbere!

Hawa wahanga wamekosa nini? Ipo siku mtatoa hesabu hii!
Uzuri ni kwamba Mungu hamung'unyi maneno , dhuluma ni dhambi kubwa sana .
 
Back
Top Bottom