Utapeli wa kazi Shanta mining gold Songea

Utapeli wa kazi Shanta mining gold Songea

siligiye

Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Ndugu zangu habari ya weekend.... Kuna matapeli walitoa matangazo ya kazi kwa kivuli cha mgodi wa Shanta mining, nami pia ni mmoja wapo niliyeomba nafasi tangazo nililiona njombe. Leo wamenipigia simu wanasema niwatumie laki moja na nusu (150,000) kama ada ya majibu... Wakati naendelea kumhoji majibu gani akakata simu. Kwa wale wote tulioomba hizo nafasi hazipo ni uongo ni mataperi. Tushirikiane kuwaripoti kwenye vyombo vya usalama.
 
wapigwe mawe kama wakikamatwa cio kuwa peleka sero mana wanatesa ajiraless
 
Weka mawasiliano yao hapa kama ni kweli ili hatua za kinidhamu zipate kuchukuliwa dhidi yao.
 
Weka namba ya simu waliyotumia kukupigia
 
mi nliambiwa ntoe laki tatu kutoka hyo kampuni. ni mama flani ,alitumia namba 0783719512
 
Ndugu zangu habari ya weekend.... Kuna mataperi walitoa matangazo ya kazi kwa kivuli cha mgodi wa Shanta mining, nami pia ni mmoja wapo niliyeomba nafasi tangazo nililiona njombe. Leo wamenipigia simu wanasema niwatumie laki moja na nusu (150,000) kama ada ya majibu... Wakati naendelea kumhoji majibu gani akakata simu. Kwa wale wote tulioomba hizo nafasi hazipo ni uongo ni mataperi. Tushirikiane kuwaripoti kwenye vyombo vya usalama.


Ahsante kwa taarifa ila siku nyingine ujitahidi kuandika vizuri sawa eeh??

ni MATAPELI sio ****MATAPERI****
 
TCRA kujeni humu kuna namba za matapeli, mtusaidie kiwakamata!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom