Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,741
- 14,928
Ni kama Air freshener.. tuNakuunga mkono hii ni spray sio dawa ya kuua wadudu,mamlaka husika chukueni hatua tunaibiwa.
Uhuniwalipunguza nguvu sijui kwanini
za mwanzo zilikua zina choke kabisa hata binadam, hizi za sasa hazi-choke
Alafu wanauza kwa bei kuubwa utadhani ina maajabu kumbe upuuzi tu.walipunguza nguvu sijui kwanini
za mwanzo zilikua zina choke kabisa hata binadam, hizi za sasa hazi-choke
😅😁...we jamaa!ukitaka mbu afe ni umshike umpulizie usoni.
Ok.. kesho ntapitia. Nawaza nitumie zile za kupaka ila naona sio nzr kiafya. Zile atleast hazinaga mbambamba.Nenda supermarket iliyo karibu yako,kanunue spray inaitwa SWASA inauzwa 75000/=....
utanishukuru baadae
Mbu wa sahivi ni majeuri kinoma.. hehehUshawahi kuonaga vile vikatuni vya tiktok kuna moja mbu anapgwa dawa afu mbu anabisha hadi anaimba nymbo ya sia unstapable😁😁
Serious nakwambia.. MBU hafi hivi hivi mpk umfanyie interrogation.😅😁...we jamaa!
Matokeo je? Inaua? Swala la bei si shida.Ni kweli kabisa,mbu hawafi na hata rungu ni harufu tu inabaki muda mrefu lakini haziui.
Nimeamua kujibana narumia x pel bei sio poa Sana imesimama
Inaua vizuri Sana nikagundua Hadi vimende vidogo vidogo vinaibuka vyenyewe.Matokeo je? Inaua? Swala la bei si shida.
nina mashaka sana kama atakua na hicho kiasi cha pesa mzee wangu 😂Nenda supermarket iliyo karibu yako,kanunue spray inaitwa SWASA inauzwa 75000/=....
utanishukuru baadae
Safi shukrani hii ipo ktk Wishlist kesho mapema naiweka kibindoniInaua vizuri Sana nikagundua Hadi vimende vidogo vidogo vinaibuka vyenyewe.
Alaf niliona kama 7500 kudadeknina mashaka sana kama atakua na hicho kiasi cha pesa mzee wangu 😂
Ni kujibana na kuamua tu.hit 7500-8000 na expel ni 12000-14000 kutegemea na eneonina mashaka sana kama atakua na hicho kiasi cha pesa mzee wangu [emoji23]
miaka flani nyuma, kibanda hakijaisha vyemaAlafu wanauza kwa bei kuubwa utadhani ina maajabu kumbe upuuzi tu.