kumbe nafasi za kazi zilizotangazwa za opportunity na maimatha ni za uongo kuna rafiki yangu alituma maombi akaambiwa atume hela ya form katuma katumiwa form kwenye email kuipeleka ofisi za opportunity hawaitambui wala hawajatangaza nafasi za kazi na wakasema wakitangaza nafasi huwa hawatumiii email ya yahoo, huwa wanatumia @opportunity. ndugu zangu niwaombe kitu elim na degree zetu situsaidie sio tu kupata kazi hata kufikiria, wewe fikiria kampuni inashida na wafanyakazi alafu mnaambiwa mpige sim ili mpewe utaratibu wa kujaza form kama kampun haina uwezo wa kupiga simu itapata hela ya kuwalipa wafanyakazi? pili, kama form inalipiwa elf 8000 je kuna mishahara hapo hebu tuweni tunafikiria kwanza kabla ya kutenda kinyume na hapo mtaibiwa kila sik