VODACOM inapopunguza wafanyakazi: Tunajifunza au tunakumbushwa nini?

Manyunyuyote

Member
Feb 1, 2017
66
39
Waheshimiwa, wiki juzi mwanzoni mitandaoni tumeshitushwa na habari kwamba VODACOM inapunguza wafanyakazi kwa sababu kadhaa zilizodaiwa kuelezwa na Mkurugenzi Mtendaji (MD) wao,Ian Ferrao.

Kwenye group letu moja tumejadili sana sababu kadhaa ambazo sikuziona humu na mimi ninazileta hivyohivyo kama zilivyo kama ifuatavyo.

1: RETRENCHMENT KADHAA NDANI YA VODACOM:

“Retrenchment” ndani ya VODACOM zimepita kadhaa na hii inayokuja wiki hizi si ya kwanza, sema tu imebadili format tu. “Retrenchment” ya kwanza ilijitokeza December 2011 hadi katikati ya 2012, ingawa walioondoka kipindi kile walilipwa hela isiyotambulika kisheria yenye jina la kienyeji tu liitwalo “voluntary separation”.

Hata baada ya hapo, kumekuwa na masimulizi unayoweza kuyatafsiri kama “retrenchment”. Mfano, mtu anaacha kazi mwenyewe kwa resignation lakini hamuoni “vacancy” yake ikitangazwa au kuwa replaced. Utasemaje kuwa hii si “retrenchment?".

Hoja za “retrenchment” mlizojadili nyingi, mimi leo nitajikita kwenye kipengele kinachoonekana kupuuzwa kwa kutokielewa lakini ni kikubwa. Kipengele chenyewe ni kile Ian Ferrao amekiita “Opportunity for removing duplication” na mkidahini si cha msingi, yeye amekiweka kama cha cha pili kama sababu za kufanya retrenchment.

Kwanza nianze na kufafanua neno alilotumia yaani “duplication”.

2: DUPLICATION NI NINI:

Je, “duplication” anayosema Ian Ferrao ni nini? Kila mmoja wetu anatakiwa afanye “production” kwa kazi yake na apata ujira kwa hiyo “production”.

“Duplication” ni neno la kitaalamu (management terminology”) likimaanisha kwamba ipo kazi inayopaswa kufanywa na mtu mmoja lakini badala yake inafanywa na watu kuanzia wawili.

Wafanyakazi wanaojikuta wanafanya kazi hiyo wanaitwa “duplicates”, hata kama wako watatu hawaitwi “triplicate” au “quadruplicate”. Inabaki hivyohivyo “duplicate”.

Kama “duplicates” ni wawili, basi maana yake mmoja tu angefanya “production” ile na yule wa pili hafanyi “production” yoyote. Lakini lakini wote hao wanachukua mshahara wa kampuni kwa “production” inayoweza kufanywa na mtu mmoja tu!

Hivyo, mwajiri yoyote duniani ana haki ya kuondoa “duplication” kwani ni hasara. Nimetumia neno “ujira” badala ya “mshahara” maana ujira (remunerations) si mshahara tu, ni hadi matibabu, usafiri na allowances zote na benefits zote za kazi.

Hivyo, kukiwa na “duplicates” unawalipa yote hayo, wakati anastahili kulipwa mmoja tu!

Hivyo, hata mfanyakazi anapojigundua kuwa ameanza kuwa “duplicate”, wenye akili hawasubiri na mara moja huanza kulikabili tatizo hilo. Analikabili kwanza kwa kuongea na wale “ma-duplictes” wenzake ili kama hajaelewa waeleweshane limits za kazi zao.

Kisha huongea na “management” kwa sababu “duplication” ni tatizo linalovumiliwa kwa muda tu na mara nyingi linavumiliwa kwa unafiki au kwa ujinga, lakini uvumilivu ukiisha litaakuondoa kazini kama inavyofanyika sasa ndani ya VODACOM.

Hivyo mfanyakazi na mwajiri wote wana wajibu sawa wa kuondoa “duplication” zinapoanza tu kujitokeza. Sheria inasema mgogoro wowote wa kikazi usizidi siku 60. Hivyo hata “duplication” unatakiwa mfanyakazi kui-note ndani ya siku 60.

Je, mbinu za kuliondoa (duplication) ni lipi? Mbinu ziko nyingi si lazima nitakazotaja humu. Mimi nataja chache kuwasaidia wasiojua lakini ziko tele.

3: ORGANIZATION STRUCTURE/SCHEME OF SERVICE:

Mbinu moja rahisi ya kuijua “duplication” ni kuisoma “organizational structure” yote ya kampuni maana ndiyo yenye “title” na “duties” za wafanyakazi.

Makosa ya wengi ni kukimbilia kuona “position” yao kwenye “Organizational Structure”, halafu wakishajiona wanapumua ‘a relief sigh” wanatulia! Hajihangaishi kusoma “duties” za wengine kuona kama kuna "duplications"!

Kampuni zingine huweka kitabu wanachokiita “Scheme of Service” ambacho kina kila “titles” na “positions” za wafanyakazi wote na hata mshahara wa kila “position”, vilevile huweza kuacha hata “vacancy” kama mbili tatu kwa kila position ili mfanyakazi aweze kujiona ana nafasi ya kupanda cheo (growth gap).

Hivyo, kama kampuni ina “scheme of service” au ina “organizational structure”, au vyote vipo, ni kituko kusema kwamba hutaona “duplication”.

Sasa ukisoma email ya Ian Ferran iliyosambazwa mitandaoni, anasema “Opportunity for removing duplication”.

Hapa tunaaminishwa kwamba wafanyakazi wa VODACOM hawajui “organization structure” wala “scheme of service” yao inayotakiwa kuonyesha kila employee mwenzake anafanya nini!

Lakini wakati huohuo email ya Ian Ferrao imetangulia kusema “Message from Ian: Notice of Potential Restructuring”.

Hapa unashindwa kujua, iweje anatengeneza “organization structure”mpya anayoiita “re-structuring” wakati kila mfanyakazi na mameneja wao wameshindwa kuona “duplication” kwenye “structure” ya sasa kama kweli ipo!

4: JOB DESCRIPTION NDANI YA VODACOM:

“Job description” ni sehemu mojawapo nyingine ya kutambua “duplications” maana kila mfanyakazi Tanzania analazimika kuwa nayo siku tu anaingia kazini.

Institutions zinazopenda ku-publish “scheme of service” badala ya “organisational structure” humo ndani huweka “job description” ya kila employee na mshahara anaostahili na allowances zote, kwa ujumla “wages” zote ziko humo kwenye “scheme of service”.

Kampuni makini au mffanyakazi makini akiajiriwa, ile wiki ya kwanza ya “orientation” anasoma vyote, “scheme of service”, “organization structure” na baada ya hapo analazimika ku-saini “Job Description” yake ili aanze kazi akiyajua yote hayo na ndipo aanze kupewa "targets".

“Job Description” unalazimika kuisaini wewe na mwajiri ili mkibishana huko baadaye mkorofi aumbuke.

Fanya udadisi wako umuulize employee wa VODACOM kuhusu “job description” yake. Kwanza unaweza kupata wasiojua wameziweka wapi baada ya kuzi-sign siku ameajiriwa. Ikifikia hali hii ni unaweza kusema mtu huyu hana “job description”.

Kama mfanyakazi kokote uliko, huijui “job description” yako au hata huna kabisa, maana yake hujui kazi zako (duties and responsibilities), na hapohapo hujui “organizational structure” na hujui “scheme of service”!

Hapa maana yake hujui kazi za wenzako katika kampuni ukichanganya na kutokujua za kwako!

Maana ya pili ni kwamba kumbe wewe na bosi wako au mabosi wako, hamjui kazi zinazotakiwa, mmebaki kutumana-tumana tu kwa maagizo mnayoyaita “instructions”!

Umemgeuza “bosi” mtu wa “kukutuma-tuma” na wewe umegeuka kuwa mtu wa “kutumwa-tumwa”.

Leo unatumwa hili, kesho unatumwa lile, na unasema University ulipata First Class au Upper second Honors , ikibidi una Masters ya Management, wakati kutumwa-tumwa kule kume-reduce kuwa zaidi ya “Casual labour”!

Shaghalabaghala hii, kwa mwendo huu “duplications” lazima ziwe nyingi kuliko unavyoelewa.

5: U-BUSY WA VODACOM STAFF:

Je, umeshawahi kukaa karibu na wafanyakazi wa VODACOM ukawasoma “behaviours” zao?

Staff wa VODACOM ukikutana naye club, Gym, mpirani, disco, bar, au kwenye gathering yoyote ana “specific identity” nayo ni kuonekana “busy” wakati wote.

Mnaongea naye vizuri ghafla dakika hii utamsikia amepigiwa simu, anakuacha anakuambia ni ya kikazi, anamaliza anarudi! Dakika inayofuata amepata SMS anakuambia ni “notification” ya kikazi.

Mko naye mkutanoni haipiti muda utaona atatoka pembeni kusikiliza simu. Usipokuwa mvumilivu au huwajui wanaudhi hata kama ndiye amekuomba appointment tena kwa shida yake.

Sisemi kwamba ni "behaour" mbaya, lakini unaweza kuamini kwamba huko VODACOM wana “u-busy” wa kumzidi Julius Nyerere aliyeongoza nchi huku akiandika articles nyingi, na vitabu vingi, na poems nyingi na hata akisoma articles na vitabu vingi.

VODA wanalijua sana zoezi la kuonekana kuwa “busy” kuwazidi staff walioko kwenye kiwanda cha kutengeneza “satellite” za angani cha kule Marekani!

Sasa Ian Ferrao (MD) ameingia VODACOM kama Managing Director mnamo September 1, 2015.

Kwa ile email yake tunayoijadili humu, anatufumulia siri hii ya “u-busy” alioukuta VODACOM wakati hana hata miaka miwili.

Ferrao anaona kwamba hawa watu hawana “u-busy” wowote alioukuta, tena na ndiyo kwanza anaowaona kuna “duplication” nyingi za kuondoa hivyo anastahili kuwapunguzwa "duplicates"!

6: PERFORMANCE EVALUATION (UHAKIKI WA UFANISI):

VODACOM wana system nzuri sana iitwayo “Annual Performance Review” yaani managers wote wanafanya assessment ya kampuni kwa kupima “contribution” ya staff mmoja-mmoja.

Katika kufanya hivyo, wanaugawa mwaka katika “quarters”, hivyo “Performance Review” hufanyika kila baada ya miezi mitatu kuanzia April.

Hii maana yake mwaka huu wameshafanya “Performance Review” mara tatu, yaani June 2016, September 2016 na December 2016.

Vilevile kuna “awards” kwa employees kama “Performance Review” imeonyesha kampuni imefanya vizuri mwaka huo.

“Awards” zinaitwa “bonus” ambazo ni pesa na hata “salary increment” au hata kupandishwa cheo na wakati mwingine kupewa “secondment” yaani unazawadiwa kwenda kufanya kazi VODACOM za nchi zingine.

Employee uki-perform vibaya unaweza hata kuondolewa kazini, na mwajiri anarushusiwa kukuondoa kwani kisheria inaitwa “termination of employment for poor performance”.

7: PERFORMANCE FOR YEAR APRIL 01, 2016 TO MARCH 31, 2017

Sasa tuujadili mwaka huu tuliomo (2016-2017), yaani mwaka wafanyakazi wa VODACOM wanapopunguzwa.

Kisheria VODACOM au kampuniyoyote inaruhusiwa kupunguza na upunguzaji huo unaitwa “Termination of employment based on Operational Requirements”.

Ingawa mwaka wa shughuli huanza April, mara kadhaa “awards” zile za “bonus” na performance na ya kampuni, imezoeleka employees wanajulishwa June ili kama ni mshahara uongezwe kuanzia July 1.

Kama June 2016 walipata “Performance Results” maana yake ni kwamba hadi July 2016 kampuni ili-perform vizuri na kuna waliopata “bonus”.

Kama kuna walioangusha kampuni basi walipata “termination of employment due to performance” kwa mujibu wa “Performance Review” ilivyoonyesha.

Hivyo, kama kulikuwa na wafanyakazi wabovu (under-performers) June 2016 wangetaarifiwa na hatua dhidi yao zingeshachukuliwa na huenda wangeshafukuzwa toka VODACOM na huenda kufikia October 2016 kampuni imeshabaki na wafanyakazi wasafi.

Tena VODA wana kawaida ifikapo December wengi huenda likizo na wengine hata hiyo December huwa wanapewa bonus.

Hii maana yake VODACOM staff wameenda likizo December 2016 huku kichwani hawana memory nyingine ya “performance” zaidi ya zile “bonus” za June na salary increment ya July 2016 na waliofukuzwa wana experience yao ya "poor performance" watajirekebisha huko waendako.

Ghafla watu hawa, walioenda likizo wamefurahia "performance tendency", wametoka likizo, tena siajabu hawajarudi wengine, eti January 24, 2017 wanakaribishwa na email ya Managing Director (MD) yaani Ian Ferrao inayosema kwamba wafanyakazi sasa watapunguzwa na moja ya sababu ni kuondoa “duplication” (removing duplications)!

Ghafla wote nao akili zao zimeshasahau kwamba, si June 2016 zilipotoka "bonus" wala December 2016 “Performance Review” ilionyesha "underperformance" ya mtu yeyote, kwani kama walikuwepo wangeshafukuzwa kama wanavyofukuzwaga huko nyuma.

Mmechangia mengi humu lakini na mii nawapa changamoto kuhusu fumbuo hili.

Picha anayotupa Ian Ferrao kwenye email yake ni kwamba hii “Performance Evaluation” aliyoikuta ndani ya VODACOM, ni zoezi lililotengenezwa na wababaishaji, linasimamiwa kiubabaishaji na linawa-assess wababishaji.

Inaonekana Ian Ferrao anatuaminisha kwamba “Performance Evaluation” aliyoikuta inahitaji “radical changes” yaani ifumuliwe kabisa, kwani haiwezi kuendelea kuwa ya kibabaishaji isiyo-reflect reality.

Kama si ubabaishaji, iweje eti mtu hadi December 2016 “Performance Review” haikuonyesha hata dalili za “duplication” kwenye department yako au kazi zako, halafu “Managing director” peke yake aigundue na kuianika hadharani January 24, 2017 na hapohapo aifanye kama kigezo kimoja cha“retrenchment”?!

“Retrenchment” si kitu kidogo. Vigezo vya “retrenchment” haviibuki ghafla utadhani ni ndoto za Martin Luther zisemazo “I had a dream” au ndoto za maono kama za yule mbunge aliyeko mahabusu za kaskazini hadi sasa.

8: AIBU KUHUSU “DUPLICATION”:

Jina jingine la “duplication” unavyoweza kuiita ni “over-employment”.

Tumeshaona maana ya “duplication” na sitarajii kubishiwa nikisema mfanyakazi ambaye ni “duplicate” ni mwizi tangu siku “duplication” yake ilipoanza.

Wizi wa “duplicate” hauna tofauti na “accountant” ambaye wizi wake unahesabika tangu tarehe aliyoiba hata kama “auditor” kamgundua miaka minne baadaye.

Kama kuna “duplication” wakati kila siku mnaonekana “mko-busy” utadhani watengeneza “rocket”, hayo maajabu tuyaiteje?!

9: HOW TO AVOID “DUPLICATION” (KUEPUKA DUPLICATION):

Ukweli ni tonaotakiwa kutouficha ni kwamba “duplicaton” zipo, tena si VODACOM tu zinakoondolewa, bali kote ikibidi hata kazini kwako, na hata kwa anayechukia kusoma post hii. Kuchukia ambao hakumsaidii wala kuondoa "duplication" yake kama ipo.

Waajiri na wafanyakazi wakishirikiana kijinga kuziendekeza "duplications", basi zitaendelea kuitafuna nchi na kila kona, kila siku tutakuwa tunasoma au kusikia habari za “retrenchment” kwani "duplication" ni kutokufanya kazi.

“Duplicaton” inapoanza, wote employees na managers mnaijua na mnaiona kama kweli mko professional na dedicated kwenye kazi zenu.

"Duplication" inaanza kuonekana kadiri “u-busy” wako unavyopungua.

Sasa eti unapita mwaka mzima, "u-busy" umepungua, hujawahi kumdai mwajiri “job description” kazi yako inabadilika na kuanza kupiga kelele kwenye korido za “Manchester” na “Arsenal” au kuchunguza na kusimulia “lifestyle” ya staff wenzako hadi wanavyoishi nyumbani, basi hata mahakama haitakubaliana na hoja zako na itazitupilia mbali kama utadiriki kumshitaki mwajiri aliyeku-retrench kwa sababu ya “duplication”.

10: NANI ALAUMIWE KUENDEKEZA “DUPLICATIONS”:

Hapo juu nimeeleza kuwa hata mfanyakazi anahusika kama ameona “duplication” halafu akakaa kimya.

Lakini vilevile process ya recruitment inaanza na manager au supervisor kujua “job requirements” zitakazompa chance ya kutengeneza “job description”.

Ukweli ni kwamba moja ya faida za kuwa na “job description” ni kuondoa “duplication” na nimeshaeleza hapo juu.

Hivyo, ukiachilia mbali suala la “Perforamance Evaluation” na ukiangalia email nzima ya Ian Ferrao ni kama anawaambia “Line Managers” wote na “Human Resources” wote kwamba “nimechoka na mnavyonidanganya, kuna watu hawafanyi kazi wanastahili kupunguzwa lakini mmeshindwa kuuona huo ukweli”.

Ukimsoma Ian Ferrao maana yake haondoi “Perfarmance Evaluation” tu, bali hata “Recruitment process” yaani mfumo wa kuajiri, kwani ukimsoma vizuri anaona kwamba “utumbo” wote umelalia hapo.

Huwezi kutuhumiwa kuwa na "duplication" bila kuushambuliwa mfumo mzima uliofuga hizo "duplications", mfumo unaohusisha Line Managers” wote na “Human Resources”.

11: TAARIFA YA RETRENCHMENT MITANDAONI:

Wachangiaji wenzangu mmechangia mengi na mimi vilevile.

Nimalizie kwa kusema ukiwa kikojozi, basi godoro unalolikojolea usilitoe nje. Ukilitoa nje, wote tutaliona na tutajadili uchafu wa godoro lako na jinsi unavyojikojolea.

Kama kuna wanaochukia au watachukia mjadala huu basi wasingeleta mitandaoni ile taarifa ya Ian Ferrao ya kuwapunguzwa kazini.

Vilevile tunapopata taarifa kama hii, basi ni haki ya watanzania kujiuliza na kujifunza.

Tunajifunza kwamba je, kimetokea nini kwenye kampuni ambayo mwaka 2004 ilionekana ni mtandao wenye staff wanaoheshimika hapa nchini, lakini leo MD wao amekuta type ya staff anaothubutu kuwatamkia kwamba ni “duplication”!

Link zingine:

(Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele)
 
ukishaona ceo ametoka big 4 tu ujue ana akili sana na anajua mifumo ya kazi vizuri..

ceo wa voda ian japo ni mdogo kiumri ila anajua vitu vingi sana...

amefanya delloitte kwa miaka mingi na kufika level za juu sana... tena nchi nyingi..

ameshakuwa kwenye busy assigment na secondments kibao enzi zake delloite... so ni mtu anaejua anachokifanya..

sio bosi wa halmashauri huyo kiasi kwamba asijue wapi kuna mapungufu... hiyo nafasi hajaipata kwa kuteuliwa... bali ameipata on merit
 
Aisee hii dublication ipo sehemu nyingi ji rahisi kuiona au hata kui feel, wenye elimu ndogo na mawazo finyu hawatoelewa.
 
MAKAMPUNI YA AJABU SANA HAYA, WANASEMA WANAPUNGUZA WATU WAKATI 1,KAMPUNI ZINAZALISHA FAIDA HADI WANAGAWA GAWIO,BAHATI NASIBU NK
 
We jamaa nadhan una PhD ya human resource planning. Maelezo safi.
 
ndugu capitalism inataka kila mtu azalishe kitu..

inawezekana faida wanayopata kina wachache wanaizalisha.. ila kuna wengi hawazalishi..

ndio maana wakiwa wanapunguza staff.. wanaangalia nani hana umuhimu ndio wanamtoa

MAKAMPUNI YA AJABU SANA HAYA, WANASEMA WANAPUNGUZA WATU WAKATI 1,KAMPUNI ZINAZALISHA FAIDA HADI WANAGAWA GAWIO,BAHATI NASIBU NK
 
Vodacom customer care ndo kumejaa huo upuuzi...call center kuna mameneger wawil..et kuna na supervises,hapo hapo erolink nao wana mameneger ambao anafanya kaz ileile ya wale wa voda,na kuna masuperviser wawil wa erolink kama walivyo wa voda nao wanafanya the same thing.......
ilikuwa waswahili kupeana ulagi tu.....kuna superviser mmoja huyo wa voda mweupe mweupe yy kaz yake kuzurula tu ......
 
Hongera sana Mkuu umefanya uchambuzi kitaalam na unafaham ulichokiandika. Ila upunguze maneno ya kuchamba katikati ya uzi...
 
Vodacom customer care ndo kumejaa huo upuuzi...call center kuna mameneger wawil..et kuna na supervises,hapo hapo erolink nao wana mameneger ambao anafanya kaz ileile ya wale wa voda,na kuna masuperviser wawil wa erolink kama walivyo wa voda nao wanafanya the same thing.......
ilikuwa waswahili kupeana ulagi tu.....kuna superviser mmoja huyo wa voda mweupe mweupe yy kaz yake kuzurula tu ......

EROLINK ni outsource,

Kama ni hivyo basi vitengo vingi tu wanatakiwa kupunguzwa wala si wanaofanya zinazofanana na EROLINK peke yake.

Kokote kwenye outsource unatakiwa kujiuliza unabaki na staff ili wafanye nini kama siyo "duplication".
 
Waheshimiwa, wiki juzi mwanzoni mitandaoni tumeshitushwa na habari kwamba VODACOM inapunguza wafanyakazi kwa sababu kadhaa zilizodaiwa kuelezwa na Mkurugenzi Mtendaji (MD) wao,Ian Ferrao.

Kwenye group letu moja tumejadili sana sababu kadhaa ambazo sikuziona humu na mimi ninazileta hivyohivyo kama zilivyo kama ifuatavyo.

1: RETRENCHMENT KADHAA NDANI YA VODACOM:

“Retrenchment” ndani ya VODACOM zimepita kadhaa na hii inayokuja wiki hizi si ya kwanza, sema tu imebadili format tu. “Retrenchment” ya kwanza ilijitokeza December 2011 hadi katikati ya 2012, ingawa walioondoka kipindi kile walilipwa hela isiyotambulika kisheria yenye jina la kienyeji tu liitwalo “voluntary separation”.

Hata baada ya hapo, kumekuwa na masimulizi unayoweza kuyatafsiri kama “retrenchment”. Mfano, mtu anaacha kazi mwenyewe kwa resignation lakini hamuoni “vacancy” yake ikitangazwa au kuwa replaced. Utasemaje kuwa hii si “retrenchment?".

Hoja za “retrenchment” mlizojadili nyingi, mimi leo nitajikita kwenye kipengele kinachoonekana kupuuzwa kwa kutokielewa lakini ni kikubwa. Kipengele chenyewe ni kile Ian Ferrao amekiita “Opportunity for removing duplication” na mkidahini si cha msingi, yeye amekiweka kama cha cha pili kama sababu za kufanya retrenchment.

Kwanza nianze na kufafanua neno alilotumia yaani “duplication”.

2: DUPLICATION NI NINI:

Je, “duplication” anayosema Ian Ferrao ni nini? Kila mmoja wetu anatakiwa afanye “production” kwa kazi yake na apata ujira kwa hiyo “production”.

“Duplication” ni neno la kitaalamu (management terminology”) likimaanisha kwamba ipo kazi inayopaswa kufanywa na mtu mmoja lakini badala yake inafanywa na watu kuanzia wawili.

Wafanyakazi wanaojikuta wanafanya kazi hiyo wanaitwa “duplicates”, hata kama wako watatu hawaitwi “triplicate” au “quadruplicate”. Inabaki hivyohivyo “duplicate”.

Kama “duplicates” ni wawili, basi maana yake mmoja tu angefanya “production” ile na yule wa pili hafanyi “production” yoyote. Lakini lakini wote hao wanachukua mshahara wa kampuni kwa “production” inayoweza kufanywa na mtu mmoja tu!

Hivyo, mwajiri yoyote duniani ana haki ya kuondoa “duplication” kwani ni hasara. Nimetumia neno “ujira” badala ya “mshahara” maana ujira (remunerations) si mshahara tu, ni hadi matibabu, usafiri na allowances zote na benefits zote za kazi.

Hivyo, kukiwa na “duplicates” unawalipa yote hayo, wakati anastahili kulipwa mmoja tu!

Hivyo, hata mfanyakazi anapojigundua kuwa ameanza kuwa “duplicate”, wenye akili hawasubiri na mara moja huanza kulikabili tatizo hilo. Analikabili kwanza kwa kuongea na wale “ma-duplictes” wenzake ili kama hajaelewa waeleweshane limits za kazi zao.

Kisha huongea na “management” kwa sababu “duplication” ni tatizo linalovumiliwa kwa muda tu na mara nyingi linavumiliwa kwa unafiki au kwa ujinga, lakini uvumilivu ukiisha litaakuondoa kazini kama inavyofanyika sasa ndani ya VODACOM.

Hivyo mfanyakazi na mwajiri wote wana wajibu sawa wa kuondoa “duplication” zinapoanza tu kujitokeza. Sheria inasema mgogoro wowote wa kikazi usizidi siku 60. Hivyo hata “duplication” unatakiwa mfanyakazi kui-note ndani ya siku 60.

Je, mbinu za kuliondoa (duplication) ni lipi? Mbinu ziko nyingi si lazima nitakazotaja humu. Mimi nataja chache kuwasaidia wasiojua lakini ziko tele.

3: ORGANIZATION STRUCTURE/SCHEME OF SERVICE:

Mbinu moja rahisi ya kuijua “duplication” ni kuisoma “organizational structure” yote ya kampuni maana ndiyo yenye “title” na “duties” za wafanyakazi.

Makosa ya wengi ni kukimbilia kuona “position” yao kwenye “Organizational Structure”, halafu wakishajiona wanapumua ‘a relief sigh” wanatulia! Hajihangaishi kusoma “duties” za wengine kuona kama kuna "duplications"!

Kampuni zingine huweka kitabu wanachokiita “Scheme of Service” ambacho kina kila “titles” na “positions” za wafanyakazi wote na hata mshahara wa kila “position”, vilevile huweza kuacha hata “vacancy” kama mbili tatu kwa kila position ili mfanyakazi aweze kujiona ana nafasi ya kupanda cheo (growth gap).

Hivyo, kama kampuni ina “scheme of service” au ina “organizational structure”, au vyote vipo, ni kituko kusema kwamba hutaona “duplication”.

Sasa ukisoma email ya Ian Ferran iliyosambazwa mitandaoni, anasema “Opportunity for removing duplication”.

Hapa tunaaminishwa kwamba wafanyakazi wa VODACOM hawajui “organization structure” wala “scheme of service” yao inayotakiwa kuonyesha kila employee mwenzake anafanya nini!

Lakini wakati huohuo email ya Ian Ferrao imetangulia kusema “Message from Ian: Notice of Potential Restructuring”.

Hapa unashindwa kujua, iweje anatengeneza “organization structure”mpya anayoiita “re-structuring” wakati kila mfanyakazi na mameneja wao wameshindwa kuona “duplication” kwenye “structure” ya sasa kama kweli ipo!

4: JOB DESCRIPTION NDANI YA VODACOM:

“Job description” ni sehemu mojawapo nyingine ya kutambua “duplications” maana kila mfanyakazi Tanzania analazimika kuwa nayo siku tu anaingia kazini.

Institutions zinazopenda ku-publish “scheme of service” badala ya “organisational structure” humo ndani huweka “job description” ya kila employee na mshahara anaostahili na allowances zote, kwa ujumla “wages” zote ziko humo kwenye “scheme of service”.

Kampuni makini au mffanyakazi makini akiajiriwa, ile wiki ya kwanza ya “orientation” anasoma vyote, “scheme of service”, “organization structure” na baada ya hapo analazimika ku-saini “Job Description” yake ili aanze kazi akiyajua yote hayo na ndipo aanze kupewa "targets".

“Job Description” unalazimika kuisaini wewe na mwajiri ili mkibishana huko baadaye mkorofi aumbuke.

Fanya udadisi wako umuulize employee wa VODACOM kuhusu “job description” yake. Kwanza unaweza kupata wasiojua wameziweka wapi baada ya kuzi-sign siku ameajiriwa. Ikifikia hali hii ni unaweza kusema mtu huyu hana “job description”.

Kama mfanyakazi kokote uliko, huijui “job description” yako au hata huna kabisa, maana yake hujui kazi zako (duties and responsibilities), na hapohapo hujui “organizational structure” na hujui “scheme of service”!

Hapa maana yake hujui kazi za wenzako katika kampuni ukichanganya na kutokujua za kwako!

Maana ya pili ni kwamba kumbe wewe na bosi wako au mabosi wako, hamjui kazi zinazotakiwa, mmebaki kutumana-tumana tu kwa maagizo mnayoyaita “instructions”!

Umemgeuza “bosi” mtu wa “kukutuma-tuma” na wewe umegeuka kuwa mtu wa “kutumwa-tumwa”.

Leo unatumwa hili, kesho unatumwa lile, na unasema University ulipata First Class au Upper second Honors , ikibidi una Masters ya Management, wakati kutumwa-tumwa kule kume-reduce kuwa zaidi ya “Casual labour”!

Shaghalabaghala hii, kwa mwendo huu “duplications” lazima ziwe nyingi kuliko unavyoelewa.

5: U-BUSY WA VODACOM STAFF:

Je, umeshawahi kukaa karibu na wafanyakazi wa VODACOM ukawasoma “behaviours” zao?

Staff wa VODACOM ukikutana naye club, Gym, mpirani, disco, bar, au kwenye gathering yoyote ana “specific identity” nayo ni kuonekana “busy” wakati wote.

Mnaongea naye vizuri ghafla dakika hii utamsikia amepigiwa simu, anakuacha anakuambia ni ya kikazi, anamaliza anarudi! Dakika inayofuata amepata SMS anakuambia ni “notification” ya kikazi.

Mko naye mkutanoni haipiti muda utaona atatoka pembeni kusikiliza simu. Usipokuwa mvumilivu au huwajui wanaudhi hata kama ndiye amekuomba appointment tena kwa shida yake.

Sisemi kwamba ni "behaour" mbaya, lakini unaweza kuamini kwamba huko VODACOM wana “u-busy” wa kumzidi Julius Nyerere aliyeongoza nchi huku akiandika articles nyingi, na vitabu vingi, na poems nyingi na hata akisoma articles na vitabu vingi.

VODA wanalijua sana zoezi la kuonekana kuwa “busy” kuwazidi staff walioko kwenye kiwanda cha kutengeneza “satellite” za angani cha kule Marekani!

Sasa Ian Ferrao (MD) ameingia VODACOM kama Managing Director mnamo September 1, 2015.

Kwa ile email yake tunayoijadili humu, anatufumulia siri hii ya “u-busy” alioukuta VODACOM wakati hana hata miaka miwili.

Ferrao anaona kwamba hawa watu hawana “u-busy” wowote alioukuta, tena na ndiyo kwanza anaowaona kuna “duplication” nyingi za kuondoa hivyo anastahili kuwapunguzwa "duplicates"!

6: PERFORMANCE EVALUATION (UHAKIKI WA UFANISI):

VODACOM wana system nzuri sana iitwayo “Annual Performance Review” yaani managers wote wanafanya assessment ya kampuni kwa kupima “contribution” ya staff mmoja-mmoja.

Katika kufanya hivyo, wanaugawa mwaka katika “quarters”, hivyo “Performance Review” hufanyika kila baada ya miezi mitatu kuanzia April.

Hii maana yake mwaka huu wameshafanya “Performance Review” mara tatu, yaani June 2016, September 2016 na December 2016.

Vilevile kuna “awards” kwa employees kama “Performance Review” imeonyesha kampuni imefanya vizuri mwaka huo.

“Awards” zinaitwa “bonus” ambazo ni pesa na hata “salary increment” au hata kupandishwa cheo na wakati mwingine kupewa “secondment” yaani unazawadiwa kwenda kufanya kazi VODACOM za nchi zingine.

Employee uki-perform vibaya unaweza hata kuondolewa kazini, na mwajiri anarushusiwa kukuondoa kwani kisheria inaitwa “termination of employment for poor performance”.

7: PERFORMANCE FOR YEAR APRIL 01, 2016 TO MARCH 31, 2017

Sasa tuujadili mwaka huu tuliomo (2016-2017), yaani mwaka wafanyakazi wa VODACOM wanapopunguzwa.

Kisheria VODACOM au kampuniyoyote inaruhusiwa kupunguza na upunguzaji huo unaitwa “Termination of employment based on Operational Requirements”.

Ingawa mwaka wa shughuli huanza April, mara kadhaa “awards” zile za “bonus” na performance na ya kampuni, imezoeleka employees wanajulishwa June ili kama ni mshahara uongezwe kuanzia July 1.

Kama June 2016 walipata “Performance Results” maana yake ni kwamba hadi July 2016 kampuni ili-perform vizuri na kuna waliopata “bonus”.

Kama kuna walioangusha kampuni basi walipata “termination of employment due to performance” kwa mujibu wa “Performance Review” ilivyoonyesha.

Hivyo, kama kulikuwa na wafanyakazi wabovu (under-performers) June 2016 wangetaarifiwa na hatua dhidi yao zingeshachukuliwa na huenda wangeshafukuzwa toka VODACOM na huenda kufikia October 2016 kampuni imeshabaki na wafanyakazi wasafi.

Tena VODA wana kawaida ifikapo December wengi huenda likizo na wengine hata hiyo December huwa wanapewa bonus.

Hii maana yake VODACOM staff wameenda likizo December 2016 huku kichwani hawana memory nyingine ya “performance” zaidi ya zile “bonus” za June na salary increment ya July 2016 na waliofukuzwa wana experience yao ya "poor performance" watajirekebisha huko waendako.

Ghafla watu hawa, walioenda likizo wamefurahia "performance tendency", wametoka likizo, tena siajabu hawajarudi wengine, eti January 24, 2017 wanakaribishwa na email ya Managing Director (MD) yaani Ian Ferrao inayosema kwamba wafanyakazi sasa watapunguzwa na moja ya sababu ni kuondoa “duplication” (removing duplications)!

Ghafla wote nao akili zao zimeshasahau kwamba, si June 2016 zilipotoka "bonus" wala December 2016 “Performance Review” ilionyesha "underperformance" ya mtu yeyote, kwani kama walikuwepo wangeshafukuzwa kama wanavyofukuzwaga huko nyuma.

Mmechangia mengi humu lakini na mii nawapa changamoto kuhusu fumbuo hili.

Picha anayotupa Ian Ferrao kwenye email yake ni kwamba hii “Performance Evaluation” aliyoikuta ndani ya VODACOM, ni zoezi lililotengenezwa na wababaishaji, linasimamiwa kiubabaishaji na linawa-assess wababishaji.

Inaonekana Ian Ferrao anatuaminisha kwamba “Performance Evaluation” aliyoikuta inahitaji “radical changes” yaani ifumuliwe kabisa, kwani haiwezi kuendelea kuwa ya kibabaishaji isiyo-reflect reality.

Kama si ubabaishaji, iweje eti mtu hadi December 2016 “Performance Review” haikuonyesha hata dalili za “duplication” kwenye department yako au kazi zako, halafu “Managing director” peke yake aigundue na kuianika hadharani January 24, 2017 na hapohapo aifanye kama kigezo kimoja cha“retrenchment”?!

“Retrenchment” si kitu kidogo. Vigezo vya “retrenchment” haviibuki ghafla utadhani ni ndoto za Martin Luther zisemazo “I had a dream” au ndoto za maono kama za yule mbunge aliyeko mahabusu za kaskazini hadi sasa.

8: AIBU KUHUSU “DUPLICATION”:

Jina jingine la “duplication” unavyoweza kuiita ni “over-employment”.

Tumeshaona maana ya “duplication” na sitarajii kubishiwa nikisema mfanyakazi ambaye ni “duplicate” ni mwizi tangu siku “duplication” yake ilipoanza.

Wizi wa “duplicate” hauna tofauti na “accountant” ambaye wizi wake unahesabika tangu tarehe aliyoiba hata kama “auditor” kamgundua miaka minne baadaye.

Kama kuna “duplication” wakati kila siku mnaonekana “mko-busy” utadhani watengeneza “rocket”, hayo maajabu tuyaiteje?!

9: HOW TO AVOID “DUPLICATION” (KUEPUKA DUPLICATION):

Ukweli ni tonaotakiwa kutouficha ni kwamba “duplicaton” zipo, tena si VODACOM tu zinakoondolewa, bali kote ikibidi hata kazini kwako, na hata kwa anayechukia kusoma post hii. Kuchukia ambao hakumsaidii wala kuondoa "duplication" yake kama ipo.

Waajiri na wafanyakazi wakishirikiana kijinga kuziendekeza "duplications", basi zitaendelea kuitafuna nchi na kila kona, kila siku tutakuwa tunasoma au kusikia habari za “retrenchment” kwani "duplication" ni kutokufanya kazi.

“Duplicaton” inapoanza, wote employees na managers mnaijua na mnaiona kama kweli mko professional na dedicated kwenye kazi zenu.

"Duplication" inaanza kuonekana kadiri “u-busy” wako unavyopungua.

Sasa eti unapita mwaka mzima, "u-busy" umepungua, hujawahi kumdai mwajiri “job description” kazi yako inabadilika na kuanza kupiga kelele kwenye korido za “Manchester” na “Arsenal” au kuchunguza na kusimulia “lifestyle” ya staff wenzako hadi wanavyoishi nyumbani, basi hata mahakama haitakubaliana na hoja zako na itazitupilia mbali kama utadiriki kumshitaki mwajiri aliyeku-retrench kwa sababu ya “duplication”.

10: NANI ALAUMIWE KUENDEKEZA “DUPLICATIONS”:

Hapo juu nimeeleza kuwa hata mfanyakazi anahusika kama ameona “duplication” halafu akakaa kimya.

Lakini vilevile process ya recruitment inaanza na manager au supervisor kujua “job requirements” zitakazompa chance ya kutengeneza “job description”.

Ukweli ni kwamba moja ya faida za kuwa na “job description” ni kuondoa “duplication” na nimeshaeleza hapo juu.

Hivyo, ukiachilia mbali suala la “Perforamance Evaluation” na ukiangalia email nzima ya Ian Ferrao ni kama anawaambia “Line Managers” wote na “Human Resources” wote kwamba “nimechoka na mnavyonidanganya, kuna watu hawafanyi kazi wanastahili kupunguzwa lakini mmeshindwa kuuona huo ukweli”.

Ukimsoma Ian Ferrao maana yake haondoi “Perfarmance Evaluation” tu, bali hata “Recruitment process” yaani mfumo wa kuajiri, kwani ukimsoma vizuri anaona kwamba “utumbo” wote umelalia hapo.

Huwezi kutuhumiwa kuwa na "duplication" bila kuushambuliwa mfumo mzima uliofuga hizo "duplications", mfumo unaohusisha Line Managers” wote na “Human Resources”.

11: TAARIFA YA RETRENCHMENT MITANDAONI:

Wachangiaji wenzangu mmechangia mengi na mimi vilevile.

Nimalizie kwa kusema ukiwa kikojozi, basi godoro unalolikojolea usilitoe nje. Ukilitoa nje, wote tutaliona na tutajadili uchafu wa godoro lako na jinsi unavyojikojolea.

Kama kuna wanaochukia au watachukia mjadala huu basi wasingeleta mitandaoni ile taarifa ya Ian Ferrao ya kuwapunguzwa kazini.

Vilevile tunapopata taarifa kama hii, basi ni haki ya watanzania kujiuliza na kujifunza.

Tunajifunza kwamba je, kimetokea nini kwenye kampuni ambayo mwaka 2004 ilionekana ni mtandao wenye staff wanaoheshimika hapa nchini, lakini leo MD wao amekuta type ya staff anaothubutu kuwatamkia kwamba ni “duplication”!

Link zingine:

(Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele)
Uchambuzi mzuri mkuu,unafaa kuwa Director in HR for a big organisation
 
Mkuu umeongea viiingi lakini sababu ni moja tu uchumi umeyumba na kampuni hazipati faida
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom