Utapeli mpya, wanawake kuweni makini na wanaume wanaosema wao ni usalama wa Taifa

Jamani utapeli mpya, ukipata mwanaume akasema yeye ni usalama wa taifa jua unataka kutapeliwa, wadada watatu wameibiwa. Wa kwanza milion 5 wa pili milion 3 na wa 3 milioni 5....anaejuq kuandika anipe namba nimsimulie
Hata Marekani wanawake wameshaingizwa mkenge kwa kudanganywa na wanaume eti wao ni secret service. Na hawasikii lila siku kwenye dating sites wanadanganywa tu hivyo.
 
Jamani utapeli mpya, ukipata mwanaume akasema yeye ni usalama wa taifa jua unataka kutapeliwa, wadada watatu wameibiwa. Wa kwanza milion 5 wa pili milion 3 na wa 3 milioni 5....anaejuq kuandika anipe namba nimsimulie
Unataka namba za watu uwaambie wakutumie na ya kutolea? Mashoga wengi siku hizi.
 
kwamba kuna jamaa anakwenda kwa demu anaanza kujieleza yeye ni usalama.
 
Jamani utapeli mpya, ukipata mwanaume akasema yeye ni usalama wa taifa jua unataka kutapeliwa, wadada watatu wameibiwa. Wa kwanza milion 5 wa pili milion 3 na wa 3 milioni 5....anaejuq kuandika anipe namba nimsimulie
Mbona Tz uzumbukuku ni mkubwa sana kiasi hiki???Kwani usalama wa taifa ndio kitu gani mpaka watu wanazuzuka pakubwa kiasi hiki????
 
Jamani utapeli mpya, ukipata mwanaume akasema yeye ni usalama wa taifa jua unataka kutapeliwa, wadada watatu wameibiwa. Wa kwanza milion 5 wa pili milion 3 na wa 3 milioni 5....anaejuq kuandika anipe namba nimsimulie
We kama umetapaliwa na matapeli usituunganishe wanaume wote bhana, sisi wengine ni wanaume wa shoka
 
Utasikia,yule usalama wa taifa bana
...nchi hii mambugila wengi tu

Sasa kama ni usalama si kazi yake
Inatuhusu nini sisi

Ova
 
Back
Top Bottom