satininus
Senior Member
- Feb 11, 2021
- 135
- 171
Wadau napenda kuwajulisha kuwa mnapofika katika stand hii na kama unataka kusafiri usiku kuwa kutumia magari maarufu kama IT na hasa ukishukia stand ya daladala unakutana na wapiga debe wanaotangaza kuwa kuna magari ya IT wakati si kweli.
Wanachofanya wanakuchukua hadi ndani ya kituo cha Magufuli kwenye ofisi za kukatia tiketi mabasi na kukuhakikishia kuwa kuna basi linaloondoka usiku huo huo wakati si kweli.
Stand ya Magufuli hakuna basi lolote linaloruhusiwa kuondoka usiku yote yanaondoka asubuhi kuanzia saa 12.
Mi yamenikuta nikaenda hadi kituo cha polisi lakini hakuna msaada wowote wa maana na inaonekana mapolisi wanajua mchezo huu na hawaonyeshi kuukomesha wma wameshindwa au wanalambishwa asali na wahusika.Hali hii wadau inasababisha usumbufu mkubwa usio wa lazima.Serikali ipige marufuku kabisa wapiga debe ambao wanaendelea kuwa kero sana kwa abiria.
Pia inaonekana hata tiketi za mtandaoni bado ni issue isiyo ya lazima kwa hawa jamaa.Kwa kifupi kunahitajika kampuni ya kusimamia logistics zote za stand ili kuleta tija na hadhi ya stand hii ya kimataifa.