Utapeli mkubwa udsm

kabindi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
333
120
Katika kile ambacho huwezi kuamini unaweza kusema Wahadhiri wa UDSM ni wajuzi na wazoefu kitaaluma hasa ukizingatia kwamba ni chuo kikuu kikongwe na chenye wataalamu wanaotegemewa katika Taifa katika kufundisha na kutoa Ushauri katika nyanja mabailmbali. UDSM wapo katika mikakati ya kujiimalisha kimiundombinu. Vipo vitivo amabavyo vimeanzisha Course mbalimbali kama miradi ya kujiingizia vipato.

Ni katika hari hiyo College of Engineering and Technology/Imformation Management Research Centre wanaendesha Courses mbalimbali kuanzia ngazi ya vyeti, diploma, nk. Mfano ni course ya Records, Archives and Information Management. Huwezi kuanzisha course, Shule au chuo bila kusajiliwa katika sehemu husika.

Kufanya hivyo ni kuwaibia wanafunzi na kuwapotezea muda wao kwani Vyeti vyao vitakuwa havitambuliki sehemu yoyote. Mfano kwa wakati huu, wanaendesha course ya Records, Archives and Information Management katika ngazi ya Cheti na Diploma, wapo wanafunzi waliomaliza nagazi ya cheti na kujiunga na Diploma bila kupata matokeo ya Mitihani yao na kwa maana hiyo hawakuwa na vyeti.

Unaweza kujiuliza ni kwa vipi unaweza kumdahili mwanafunzi bila kuwa na Vyeti kwa maana kwamba wamewezaje kujiunga na Diploma bila kuwa na matokeo yao katika ngazi ya Certificate?

Hii ni kichekesho na ubabaishaji! kadhalika hakuna mwanafunzi yeyote katika ngazi ya Diploma na cheti ambaye amewahi kupata matokeo ya mitihani yoyote aliyowahi kufanya! Ulipaji wa ada na ni wa kusitaajabisha kwani kuna Course Coordinator Ndg. FREDRICK KABOLI ambaye wakati mwingine anapokea ada za wanafunzi na kuzitia mfukoni mwake kwani wakihitaji receipts za malipo anawazungusha hadi leo na kibaya zaidi amebobea kwa tabia ya Umalaya kwa kutongoza na kutembea na wanafunzi wa Kike kwa ahadi ya kuwapatia majibu ya mitihani au kubadilisha matokeo yao ili wapate alama za juu!

Huwezi kuamini lakini fanya utafiti utabaini haya ninayoyasema. Hivyo nawashauri vijana wanaotaka kusoma Course hizo pale UDSM wasipoteze muda na pesa zao kwani kuna utapeli! Naelewa Mkuu wa College ni Prof. J. KATIMA, kama kuna ubishi juu ya haya akanushe na tutampatia takwimu!

Wana JF hiyo ni sawa kwa vijana wetu?!\
 
... mustakabali wa nchi unatengenezwa na wananchi wenyewe.
Hili ni moja kati ya mengi ambayo yataifanya Tanzania kuendelea kuwa soko la bidhaa ZOTE, na utaalam WOTE kutoka nje kwa wenzetu walio makini zaidi. Matokeo yake nini? ...vijana wetu wataendelea kulia ajira hakuna, huku wamevaa nguo na raba kutoka China (ajira), huku wamekaa kwenye vijiwe bize kwenye fesibuku na simu kutoka China (ajira). Na mengine mengi.
 
Wakimaliza wataajiriwa hapahapa nchini ili tuendeleze libeneke la ukilaza.
 
Mtelemko?!, unajuaje kama kozi ya UDSM ni cheap kuliko ya pale magogoni na kwingine?!, watendee haki watanzania wenzio walioenda pale kwa kivuli cha UDSM na authenticity yake kumbe kOZI haina usajiri na ada zinapokelewa kienyeji. Next time changia kama great thinker and not otherwise.
Watanzania wanapenda mteremko sana. Acha waibiwe.
 
... mustakabali wa nchi unatengenezwa na wananchi wenyewe.
Hili ni moja kati ya mengi ambayo yataifanya Tanzania kuendelea kuwa soko la bidhaa ZOTE, na utaalam WOTE kutoka nje kwa wenzetu walio makini zaidi. Matokeo yake nini? ...vijana wetu wataendelea kulia ajira hakuna, huku wamevaa nguo na raba kutoka China (ajira), huku wamekaa kwenye vijiwe bize kwenye fesibuku na simu kutoka China (ajira). Na mengine mengi.

Tulishazoea kula vya watu, lazima tuwe watumwa tu.
 
Why is he operating from Udsm? He is not an employee of that institution! Au ndio mambo ya urafiki?
 
do this guy, nenda kashitaki TCU. TCU is the regulator of all universities in tz.
 
Back
Top Bottom