Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Bwana we kuna namna hizi sehemu nne zinakuwaga na vibe la namna yake,. Ofisini,. Kwenye Gari ( la kwanza mnabinua tu siti, la pili mnahamia kumalizia siti ya nyuma ) , Bafuni na Jikoni🤭🤭

Ilaaa😅😅😅😅
 
PS / Angalizo:

Kila nikiandika nyuzi za maisha yangu ya raha, hawakosekani wajuaji wa kunisakama, leo msipoteze pumzi zenu kuja kuandika haya;
  1. Ooh unapenda sana mapenzi badala ya mambo ya maana - jibu ni ndiyo napenda sana, yani sanaaaaaaa!

  2. Ooh mambo ya msingi ya taifa, siasa na vyama hayajadiliwi blah blah - jibu: mambo ya msingi nakuachia wewe mzalendo uyajadili.

  3. Oooh it’s too vulgar - jibu: grow up 🙄
Limshangazi ukiwa katika harakati za kugawa mautundu yako.
 
PS / Angalizo:

Kila nikiandika nyuzi za maisha yangu ya raha, hawakosekani wajuaji wa kunisakama, leo msipoteze pumzi zenu kuja kuandika haya;
  1. Ooh unapenda sana mapenzi badala ya mambo ya maana - jibu ni ndiyo napenda sana, yani sanaaaaaaa!

  2. Ooh mambo ya msingi ya taifa, siasa na vyama hayajadiliwi blah blah - jibu: mambo ya msingi nakuachia wewe mzalendo uyajadili.

  3. Oooh it’s too vulgar - jibu: grow up 🙄
Bora ulivyowajibia hapa
Asante, hapa umewaweza maana kuna watu humu wanataka muda wote tujadili siasa za nchi na maendeleo yake.
Safi sana 🤝.

Kila mtu na hobby yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom