Shyshka Reinhardt
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,286
- 2,303
Hapa kichwa kinafanya duku duku duku, duku 😸Pole, usiinyime nafsi ile kitu inataka. Kula raha kijana!
Hapa kichwa kinafanya duku duku duku, duku 😸Pole, usiinyime nafsi ile kitu inataka. Kula raha kijana!
Usijitese 😅 peleka kichwa kwenye joto kikasuguliwe mpaka kimwage jasho 😂Hapa kichwa kinafanya duku duku duku, duku 😸
Ndo nimempigia simu hapokei, asipokuja nikilala hivi kwa sababu ya uzi wako,laana inakuhusu wewe 😁Usijitese 😅 peleka kichwa kwenye joto kikasuguliwe 😂
Wanasema nimerithi tabia mbaya kwako et..Si unajua mtoto kwa mama hakui 😂 😂
Usiku utakua mrefu sana 😂 😂 😂Ndo nimempigia simu hapokei, asipokuja nikilala hivi kwa sababu ya uzi wako,laana inakuhusu wewe 😁
Asante sana 😍🙏
Tabia mbaya gani tena? mbona wewe ni mtoto mzuri hunaga baya!Wanasema nimerithi tabia mbaya kwako et..
😂😂😂😂 Mtoto wa mamba ni mamba
Experience is the best teacher, naona hawaamini kwamba mwanamke naye anapenda raha na anaweza kuzizungumzia.Unaonyesha wazi wewe ni mtu mzima unaye jijua sana.
Mi sijari hata wakisema mi nakula tuu mpaka kieleweke mama..Tabia mbaya gani tena? mbona wewe ni mtoto mzuri hunaga baya!
Daah, basi vumilia tu, hamna namnaSheria mkononi hapana Hilo chama nilishaasi kitambo
Aaanh wewe tena unayekulaga rafiki zangu 😂 😂 😂Mi sijari hata wakisema mi nakula tuu mpaka kieleweke mama..
Au unanipinga my momy 😂😂🙌
Acha kuwa confused na mambo ya kijingaMe mwenyewe nilikuwa confused mwandiko wa kiume ila anasema ameshenyetwa, nkawa najiuliza hili shoga au?
😂 😂 😂 nilishakuambiaga, mie huniwezi!Nakutaka ww 😎
Em tujaribu, nipe nafasi moja tuu😂 😂 😂 nilishakuambiaga, mie huniwezi!
Utanifanyia nini, hebu niconvince!Em tujaribu, nipe nafasi moja tuu
Naomba nije pm plzUtanifanyia nini, hebu niconvince!
PM imefungwa kwa muda 😂 😂 😂Naomba nije pm plz
Bwabwa hili mkuuMe mwenyewe nilikuwa confused mwandiko wa kiume ila anasema ameshenyetwa, nkawa najiuliza hili shoga au?
Nakutumia namba yangu chap then inaifunga tenaPM imefungwa kwa muda