donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,136
A very nice and sensational song. Tell me,
Have you ever had that someone ukampenda, you do everything for him/her na unahangaika everyday kuhakikisha tu mambo yanakaa sawa lakini mwenzio bado anakufanyia mbwembwe? Huu wimbo wa jux umenikumbusha back,in days of college(pale nyuma ya wizara ya mambo ya ndani) kuna this chick I used to dig her that much na mbaya au nzuri tulikua same class (bbf). Nilijitahidi kufanya mengi sana kum-impress, hata ktk biashara yangu ya assignment( watu wengi sana chuo hua ni wavivu wakufanya class(group) assignment so what I used to do,nilikua nafanya assignment mwenyewe naichimba kisawasawa then katika cover page nakua nimeacha blanks za majina 14 (kama ni assn ya watu 15) then nafasi zilizobaki mtu akitaka kuandikwa anatoa 10k, ilinisaidia kupata vijisenti vya kusukuma maisha))nilikua najitolea kumuweka free of charge. Sometimes najitoa kimasomaso kwenda kumtoa lunch ya ugali dagaa wa pale bunge primary (ni mtam balaa) lakini wapi bado alikua ananichukulia kama just a friend. The last blow, kama ni mortal kombat basi ni fatality ni pale siku sina hili wala lile niko lekcha room 120 plae floor ya kwanza. As I was sitting near the windows, nilishuhudia that chick akiingia kwenye gari ya the late Rodney mutie mengi and off they were gone......
All in all,.huu wimbo nimejikuta nimeupenda umenikumbusha mbali those days, kuhangaika na moyo kwa mtu asiyekua na even tiny feelings for you.. have you ever loved someone ambaye hakutokea kufeel the same way about you??
Lucchese.
Sent using Jamii Forums mobile app