ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Ni vigumu kwa mtu muongo kuuona ukweli, kwa kuwa wao wamezoea kudanganya na ndio maana inakuwa ni vigumu kwao kuuona uongo hata ule mweupe.
Ushauri: wanasema , ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo, kama mwanamke anataka kuolewa hana sababu ya kuuliza juu ya jambo hilo, ni kuboresha tu uhusiano, na mwanaume atajipeleka mwenyewe kutoa posa.........
Uko juu mkuu!