Utanioa?

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
113
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,338
6,884
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?

ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!..madhara ni mengi lakn kubwa zaidi ni kuwa utaonekana ni muongo_sijaona tatizo kwani amekuambia umuambie moja kati ya hayo mawili aliyo kuuliza..ni bora umwambie tu kwamba unamchezea kama hauna mpango wa kumuoa...au wakuu mnasemaje?
 
TMK DAR

Member
Jul 27, 2011
46
11
Ukisema namchezea shughuli ndio imeishia hapo,ukisema utamuoa bado anakuwa na chance either ya kuchezewa au kuolewa,uzuri na uungwana wa kina dada huyapenda yote mawili(That is what I hv found)
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
Wasichana wanapenda kudanganywa...mwambie ukweli umkose...

Ni vigumu kwa mtu muongo kuuona ukweli, kwa kuwa wao wamezoea kudanganya na ndio maana inakuwa ni vigumu kwao kuuona uongo hata ule mweupe.

Ushauri: wanasema , ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo, kama mwanamke anataka kuolewa hana sababu ya kuuliza juu ya jambo hilo, ni kuboresha tu uhusiano, na mwanaume atajipeleka mwenyewe kutoa posa.........
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Wasichana wa kihivyo hawapo wengi kama unavyofikiri na kuna baadhi ukianza stori zako za ndoa jua umemkosa wao wanachotaka ni sera makini na hiyo ndoa inakuja baadae baada ya kila mmoja kuridhika kuwa huyu mwenza ananifaa.
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,321
Ni vigumu kwa mtu muongo kuuona ukweli, kwa kuwa wao wamezoea kudanganya na ndio maana inakuwa ni vigumu kwao kuuona uongo hata ule mweupe.

Ushauri: wanasema , ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo, kama mwanamke anataka kuolewa hana sababu ya kuuliza juu ya jambo hilo, ni kuboresha tu uhusiano, na mwanaume atajipeleka mwenyewe kutoa posa.........

Mara nyingi suala la kumuoa msichana huwa linakuja baada ya kuwa nae na kuona anakidhi matakwa yako japo wasichana wao huwa wanataka kuwa na mtu aliemuahidi kumuoa kabla hawajaanza mahusiano...
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,108
2,070
wasichana wa siku hizi hawataki hizo story kabisa,ukitaka kumkosa msichana we anza na story zako kuwa nitakuoa halafu uone, kwanza wao siku hizi hawaulizii hilo jambo labda wa kijijini, wa mjini wanakusoma kwanza na mnasomana pia. hawataki haya mambo ooh! unajua nakupenda nataka nikuoe.issue ni kwamba wengi wao wanakuwa tayari wana makovu ya mapenzi nafsini mwao hivyo kila mwanaume kwao wanamwona kama jambazi tu hivyo wanakubali muanze mapenzi ya kimjini mjini mambo ya kuoana ni majaaliwa, they believe it comes outmaticaaly the way mnavyozidi kukaa kwenye relation.
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115

unanidai like moja.
Halafu ishakuwa fashion kwa wanaume kutangaza ndoa. Acheni hizo.
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,108
2,070
Mara nyingi suala la kumuoa msichana huwa linakuja baada ya kuwa nae na kuona anakidhi matakwa yako japo wasichana wao huwa wanataka kuwa na mtu aliemuahidi kumuoa kabla hawajaanza mahusiano...

Mkuu sangara hii ni kwa wale ambao hawana makovu makubwa kaka au ahawajaexperiance man's lies. na ni wachache, wale wanaoamini katika true love peke yao ndio wana mita zamo kama hiyo.
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,108
2,070
unanidai like moja.
Halafu ishakuwa fashion kwa wanaume kutangaza ndoa. Acheni hizo.

vpi husninyo wameshakutangazia halafu wakasepa nini? infact sio wanaume wote wanatangaza kwanza ndoa feki, wapo wanaokeep promise bibie, usikariri
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,108
2,070
acha uongo. Mi binafsi mtu akija na gia za ndoa ananichefua, haiwezekani watu hamjafahamiana uanze kutangaza ndoa.
kwani ndoa inatakiwa itangazwe muda gani? kwani kuna specific period ambayo iko stipulated any where? kama ipo hebu nifanyie citation tuifanye iwe rulling katika relations
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
kwani ndoa inatakiwa itangazwe muda gani? kwani kuna specific period ambayo iko stipulated any where? kama ipo hebu nifanyie citation tuifanye iwe rulling katika relations

ndoa itangazwe pindi ambapo mshafahamiana vya kutosha na unaona anafaa kuwa wife.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom