Utani: 'Wachezaji' bora wa Machi na Aprili

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
1. Lugumi Enterprises

2. Infosys IPS T Ltd

3. Biometrica

4. Jeshi la Polisi Tanzania

5. Mhe. Charles Kitwanga

6. Mhe. Ridhiwani Kikwete

7. Afande Said Mwema

8. Bwana Lugumi

9. TAKUKURU

10. Kamati za Bunge

11. Wizara ya Mambo ya Ndani

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Lugumi eti ndiye mlinda lango lao, lakini mpaka sasa ameshaachia goli kama kumi na moja hivi!!

Nafikiri hata mabeki wake ni tatizo na pengine timu nzima tu!!

Hakika mpaka dakika 90 zitakapoisha,watakuwa wamegawana magoli kumi kumi kila mmoja!!
 
Back
Top Bottom