Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,214
- 42,087
Utani bwana una raha yake na una ubaya wake bhana.
Na kumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 mjomba wangu alifiwa na mke wake ,kwakweli aliumia sana, alilia kama mtoto hasa kila alipokuwa anaona watu wanakuja kumpa pole. Kwakweli alimpenda sana mkewe,kulia kwake kulisababisha tufikiri anaweza kufanya kitu kibaya hivyo tukawa tuna kaa nae karibu.
Siku iliyofata ndio mwili ulikuwa tunausafirisha kwenda kagera, kabla ya kuaga aliingia mtani wetu kama kawaida alisaini kwenye kitabu cha msiba, baada ya kumaliza akaanza kuuliza yuko wapi mume wa marehemu kama mtu nimgeni angedhani hamjui mme wa marehemu, alipo ambiwa yuko sehemu fulani ambayo tulikuwa tumemtengea apate upepo, alipofika alipo mjomba wangu alimkubatia huku akicheka na akamwambia sikutegemea kama B utalia kwa sababu yamke, Akamwambia mimi nina wake watatu si uniambie nikupe mmoja!
Kwakweli niliishiwa nguvu na kuanza kucheka, kwa kweli kwa mara ya kwanza tangu msiba utokee nili muone mjomba wangu akicheka.
Hapo ndio niliamini utani mara nyingine si mzuri.