Utani wa jadi wa makabila: Unauonaje?

Utani wa jadi wa makabila: Unauonaje?

yaani hapa platozoom kwanza naomba kudiklea interest msukuma mwenye ukurya 0.000005% kuna hawa watoto wetu wazaramo na wasambaa sijui wako humu? Nina wasiwasi maana hawa watoto wetu ni rarely sana kuingia mtandaoni na wanogopa kuwa haya bado ni mashikolo kwao!! si mnakumbuka kipindi cha manamba?! hawa walikuwa hawawezi kulima ikabidi tuje wazee wa kazi ndio hapo sasa wasukuma wakaacha watoto wengi sana huko.... natamani awepo kaka yetu Pasco atusaidie kwa hilo
 
Last edited by a moderator:

Halafu wanajifanya wajuaji....tena kusema watoto wetu unawapa vichwa sana ni product ya wajukuu!
 
Wapo tu hukumuona snowhite (infact kaficha jinamwitu) halafu kuna mwingine kabadili jina anajiita @FP, Mgogo Le mutuz kajiondoa JF

tena umeinkumbusha kuna mtu anaitwa Erickb52 hapa inamhusu kabisaaa!! na kuna kijana anaitwa BAGAH huyu kama sikosei ni hapo jirani kwetu.... Kongosho uli hali nkoi?
 
Last edited by a moderator:
platozoom mi sijaelewa kabisaaaa labda ni uchovu ila ukiweza nifafanulie aisee
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Smiling Saint mi hii topic ya platozoom inanipita kushoto aisee nashangaa niko down kutafakari ile mbaya sijui kichwani ndofu zimekata baadhi ya nyaya:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:

ndugu yangu kwa kuwa mimi na wewe ni ndugu najua bado hujatulia ukitulia utaelewa tuuu halafu ubantu wako nina shaka nao sana!!
 
kwani hujaona kabila langu? yaani ukiangalia mwanzo wa thread tu utaniona. au sababu nimebadili jina kuwa FP? ni Fixed Point yule yule. we huoni hiyo picha yangu?

hivi nyi si ndio wale mnatuchekesha na kudai ati ngoma zenu za asili huwa mnacheza na shat jeupe, tai viatu vimepigwa kiwi, soksi nyeupe na bukta nyeupe au khaki? hivi mko sawa kweli nyie?
 
utanashati ndugu yangu.
ukiangalia shati kola yote imeisha lakini whiteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hahahaaaaa nalijua hebu mlete mtu chake haraka huyo ni wangu aissee ingawa nilimpora Preta ila sio kosa langu bali la PakaJimmy

braza sikujua kabila lenu ni wadhaifu kiasi hiki.... amekukonvisi hapa platozoom ukasema huelewi elewi, nikaja mie ukasema hivyo hivyo tuu, leo kamekuja kabinti ka FP umebadilika kweli kweli na kuchangamka!! dah nyie wa ajabu kweli... na dnio maana ID yako ni maarufu sana kwa wadada wa CC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom