Utani utani mwisho huwa kweli..

Utani utani mwisho huwa kweli..

Tanzania bila michepuko inawezekana, Manaume bila mchepuko inawezekana ila ni ngumu sana
 
Hata mimi sitaki kubembelezwa

Eti hutaki kumbembelezwa! mxiuuuuu zako akubembeleze nani? Na kwa lipi haswa mpaka ubembelezwe! au ndo kutafuta kufadhilika ehhh?

Kwanza unifananishe na mnyama! alafu unataka nikuchekee kama nakuomba kipochi chako.

"Usipende kuingilia visivyo kuhusu" ushauri wa bure, chukua au acha
 
HAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHHAAA sina muda wa kupeana mipasho tena na mwanaume sijafundishwa hivo
 
ata mimi sina muda na mwanamke kama wewe anayeingilia mambo ya watu a.k.a mshakunaku.
 
HAHAHHAHAHAHAHAHHAAHHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAA asieeeeeeeeeeeeeee mwanaume una maneno sijawahi ona una kipaji kwa kweli duuuuuuh!
 
Naogopa Kurudi nyumbani mapema
Kwa kua shemeji yenu ni Vuvuzelah
 
HAHAHHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAA acha nijichekee zangu

Hahahaha
utakuwa mwendawazimu maana binadamu tunacheka na watu sio tunajichekelesha otherwise utakuwa ulitoroka Mirembe

katika wale wanne mmoja ana wendawazimu na dhani nawe uko kundi hilo
 
Mwendawazimu lazima amjue mwendawazimu mwenzake period!
 
Ukitaka kujua kama unanuka kama wolper muulize jirani yako yeye atakuambia kama una nuka au unanukia. Mwenyewe huwezi kujua kama unanuka.

unanuka UWENDAWAZIMU aisehhh rudi mirembe tu. Ni ushauri
 
Mpaka hapa unathibitisha kwa kiasi gani wewe ni mwendawazimu mwenzangu hahahhahahahhahahahahhahahahahahahahahahahhahahahahahahahhahahahahahahhahaaaaaaaaa
 
huna jipya nimekutema mara ya pili ptyuuuuu, ngoja nkasukutue kabisa
 
Back
Top Bottom