Utani utani mwisho huwa kweli..

Utani utani mwisho huwa kweli..

ata mimi kiutani utani nishabandua kadhaa
mfano majuzi tu kuna "duu" nilikuwa napiga sound (namjaribu tu) mara akakubali so jumapili nikamu-invite geto akaibuka....sikufanya ajizi..nikamnunulia kiepe yai na coca...ile ku-touch anarembua nikapiga mchana kweupe.....

Huyo alikuwa na njaa tu, si hata wewe mwenyewe umedhihirisha hivyo. Ulimnunulia kiepe yai na coca then ukapiga, njaa mwisho wa matatizo bwana.
 
Ni usiku mwingine, kwa wanafamilia baba mama kama upo nyumbani mida hii ubarikiwe sana and God bless you for being responsible. Nakama upo mihangaikoni pia barikiwa sana lakini nyie mliopo kwenye konakona nyie mungu anawaona.
Mtu mwenye akili timamu haiti waume/ wake za watu petty names. Huwez kuwa mwenye adabu na unaita mume/ mke wa mtu switie, baby, honey, mpenzi na mkikutana kama ni ofisini unajibebisha na kujidekeza kabisa na halafu unasema ni utani....Haya mautani baadae yanageukaga yanakua kweli. Unaweza kumtania tania namna hiyo na ukute kwake hajaitwa namna hiyo tangu walipofunga ndoa, ukute kwake hafanyiwi hivyo akaamua kufanya kweli na ukashindwa kujitoa. Wengine mnatania tania kumbe moyoni mnaombea iwe kweli. Fanya utani kwingine lakini sio waume/ wake za watu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Heshimu ndoa za watu. And viceversa is true...
Wanaume mnalijua hili ''!??? Wanawake tunapenda na tunafurahi sana kuona waume zetu mpo nyumbani usiku fulani hivi wa kutatanisha. Hata kama tumetofautiana ule uwepo wako nyumbani mapema tu kimoyomoyo tunakua na amani hata mambo yanaeza soviwa bila hata nyie kujua.
Tanzania bila michepuko Inawezekana!
Tukubaliane mambo mengine hayatupeleki mbinguni!

Nihayo tu kwaleo

mahondaw kumbuka kipindi tukiwa watoto....utakuta mtoto anacheza na wenzake then anakuja libaba zima au limama na kukuita mchumba wangu, njoo nikupe pipi.....najiuliza hivi wazee kama wale walikuwa wanatuwinda kutufanyizia au?
 
Toka wewe na mimi hatujazaliwa, ilikuwa hiv hivi....sema tu kwa sasa tumekuwa tunaona ni kero kwetu ila hii kitu imeshakuwa wimbo wa taifa. Kuna mwanaume hapa Bongo hana nyumba ndogo, kuna wengine wanamiliki hata sita na wako kwenye ndoa, ninawafahamu. Ila kama umeguswa pole sana sweetie wangu.
Hili linagusa wengi sana
 
mahondaw kumbuka kipindi tukiwa watoto....utakuta mtoto anacheza na wenzake then anakuja libaba zima au limama na kukuita mchumba wangu, njoo nikupe pipi.....najiuliza hivi wazee kama wale walikuwa wanatuwinda kutufanyizia au?
Kwahiyo ni muendelezo sio??? Walianzisha wazee wa zamani??!!!!! dah hatari sana
 
Ni usiku mwingine, kwa wanafamilia baba mama kama upo nyumbani mida hii ubarikiwe sana and God bless you for being responsible. Nakama upo mihangaikoni pia barikiwa sana lakini nyie mliopo kwenye konakona nyie mungu anawaona.
Mtu mwenye akili timamu haiti waume/ wake za watu petty names. Huwez kuwa mwenye adabu na unaita mume/ mke wa mtu switie, baby, honey, mpenzi na mkikutana kama ni ofisini unajibebisha na kujidekeza kabisa na halafu unasema ni utani....Haya mautani baadae yanageukaga yanakua kweli. Unaweza kumtania tania namna hiyo na ukute kwake hajaitwa namna hiyo tangu walipofunga ndoa, ukute kwake hafanyiwi hivyo akaamua kufanya kweli na ukashindwa kujitoa. Wengine mnatania tania kumbe moyoni mnaombea iwe kweli. Fanya utani kwingine lakini sio waume/ wake za watu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Heshimu ndoa za watu. And viceversa is true...
Wanaume mnalijua hili ''!??? Wanawake tunapenda na tunafurahi sana kuona waume zetu mpo nyumbani usiku fulani hivi wa kutatanisha. Hata kama tumetofautiana ule uwepo wako nyumbani mapema tu kimoyomoyo tunakua na amani hata mambo yanaeza soviwa bila hata nyie kujua.
Tanzania bila michepuko Inawezekana!
Tukubaliane mambo mengine hayatupeleki mbinguni!

Nihayo tu kwaleo
Wakristo huwa wana maneno matatu haya hapa:-

■ Maneno yanaumba (kuna ushahidi wa mistari ya bible)

■ Ulimi ni kiungo kidogo ila madhara yake makubwa, ni kama moto mdoogo uwashavyo pori kubwa

■ Atamkalo mtu kwa mdomo linadhihirisha alilo nalo moyoni.
 
ata mimi kiutani utani nishabandua kadhaa
mfano majuzi tu kuna "duu" nilikuwa napiga sound (namjaribu tu) mara akakubali so jumapili nikamu-invite geto akaibuka....sikufanya ajizi..nikamnunulia kiepe yai na coca...ile ku-touch anarembua nikapiga mchana kweupe.....
Mke wa Mtu? Mke wa mtu anagongwa kwa Kiepe yai?
 
Toka wewe na mimi hatujazaliwa, ilikuwa hiv hivi....sema tu kwa sasa tumekuwa tunaona ni kero kwetu ila hii kitu imeshakuwa wimbo wa taifa. Kuna mwanaume hapa Bongo hana nyumba ndogo, kuna wengine wanamiliki hata sita na wako kwenye ndoa, ninawafahamu. Ila kama umeguswa pole sana sweetie wangu.
Ndio maana unaitwa Jamaa_Mbishi
 
Hahaa acha kukuza mambo. Jambo dogo tu hilo shetani ashangae mbona unamuinua?
Shetani kuna vitu anatusaidia, lakini vingine sio vyake. Kutongoza mpk kumgonga girl, shetani anaweza kukusupport, lakini mpk kumgonga mke wa mtu, tena mtu hamgongi kistaarabu, anamfumua na marinda kabisa! Hapa Shetani hahusiki!
 
haya bwana
 
Back
Top Bottom